mkuu umenifanya nijisikie kutapika maana umenikumbushe jamaa mwenye tabia ya kukuna pumbu alipomegea chungwa
mkuu umenifanya nijisikie kutapika maana umenikumbushe jamaa mwenye tabia ya kukuna pumbu alipomegea chungwa
Wana JF leo nilikuwa offended na nilihisi kudharauliwa sana.Nimekutana na mdada mmoja hapa quality plaza nimesoma naye Chuo Tumaini.niliachana naye miaka 3 iliyopita na yeye alikuwa Nertheland akisoma masters,huyu mdada ana sifa kuu tatu,,,ana akili za darasani, ni mzuri halafu ni sister du.Ile kukutana naye tu bahati wote tulitambuana na kitu cha kwanza kufanya ilikuwa ni kumpa mkono kumsalimia,,,,alichofanya ni kukunja ngumu basi na mimi nikakunja ngumu hapohapo tukagonga.Nikamuulizea ndo style za uholanzi za kusalimiana nn,,,akasema no handshake is infectious, fist bump is not. Nikiwa njiani nilifikiria sana kitendo nilichofanyiwa na huyu dada na kuhisi kama ameniona mimi mchafu sana au ni kitu gani au kwa kuwa yeye amekaa ulaya sijui.Bahati mbaya nilikuwa na mke wangu, mke wangu akanimbia kuwa wanawake wengi siku hizi hawasalimii kwa mikono hasahasa wanaume coz wanaume wengi wakitoka toilet huwa hawaoshi mikono. Huyu mdada najua ataisoma hii post na wengine wote wenye tabia hii,,,,,ajue kuwa I was embarrassed sana kwa kitendo cha kuniambia handshake is infectious ina maana tayari alishaform opinion kuwa mi mikono yangu ina bactreri.Jamani najua kusoma tumesoma na kuelimika lakini twendeni taratibu jamani coz hii ni dharau sasa.
Uzuri ni kwamba alikutana na wrong person,watu tuna ndugu zetu wanatoka England wakifika home na mbege ya kupokezana wanagonga itakuwa huyo mdwanzi,wewe ulitakiwa kumpa kitu chochote ulichokishika mkononi ndo agongeshe na huo mkono wakeWana JF leo nilikuwa offended na nilihisi kudharauliwa sana.Nimekutana na mdada mmoja hapa quality plaza nimesoma naye Chuo Tumaini.niliachana naye miaka 3 iliyopita na yeye alikuwa Nertheland akisoma masters,huyu mdada ana sifa kuu tatu,,,ana akili za darasani, ni mzuri halafu ni sister du.Ile kukutana naye tu bahati wote tulitambuana na kitu cha kwanza kufanya ilikuwa ni kumpa mkono kumsalimia,,,,alichofanya ni kukunja ngumu basi na mimi nikakunja ngumu hapohapo tukagonga.Nikamuulizea ndo style za uholanzi za kusalimiana nn,,,akasema no handshake is infectious, fist bump is not. Nikiwa njiani nilifikiria sana kitendo nilichofanyiwa na huyu dada na kuhisi kama ameniona mimi mchafu sana au ni kitu gani au kwa kuwa yeye amekaa ulaya sijui.Bahati mbaya nilikuwa na mke wangu, mke wangu akanimbia kuwa wanawake wengi siku hizi hawasalimii kwa mikono hasahasa wanaume coz wanaume wengi wakitoka toilet huwa hawaoshi mikono. Huyu mdada najua ataisoma hii post na wengine wote wenye tabia hii,,,,,ajue kuwa I was embarrassed sana kwa kitendo cha kuniambia handshake is infectious ina maana tayari alishaform opinion kuwa mi mikono yangu ina bactreri.Jamani najua kusoma tumesoma na kuelimika lakini twendeni taratibu jamani coz hii ni dharau sasa.