Hand dryer zinauzwa

Hand dryer zinauzwa

miss IQ

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
849
Reaction score
1,200
Habari,kwa yeyote mwenye uhitaji wa set ya dryer kama inavyo onekana kwenye picha karibu ujipatie .
Bei : 45000
Location : chanika
Mawasiliano : +255688058336
IMG_20220114_150701_482.jpg
IMG_20220114_150349_392.jpg

IMG_20220114_150349_392.jpg
 
Samahani boss, hiv hako kuwa na watts ngap?..
 
Mkuu sio kitu cha ku convert. Kupata watts inabidi utupatie Voltage na Current na wala sio Voltage peke yake
boss hizo P = IV, W = AV siyaelewi kabisaaa .Now niko na buy & sell formular ,Haya niungishe boss wangu .

Hope muulizaji amenielewa japo kidogo
 
Convert tu mkuu .
Hii ni 220V
Mkuu sio kitu cha ku convert. Kupata watts inabidi utupatie Voltage na Current na wala sio Voltage peke yake
boss hizo P = IV, W = AV siyaelewi kabisaaa .Now niko na buy & sell formular ,Haya niungishe boss wangu .

Hope muulizaji amenielewa japo kidogo
Mkuu nashukuru umeona mapungufu ya jibu lako ingawa mteja aliyekuuliza swali la watts ngapi hujamjibu.Anyways nilikuwa najaribu kumsaidia mteja aliyekuuliza swali apate jibu stahiki.Barikiwa
 
Umeboa, Tatizo la kuwa ngwini na kujidai kujua mambo ya kisayansi
Nimejibu kilichoandikwa kwenye specifications za device husika mkuu kwa kuwa watengenezaji wameonyesha tu kuwa kinaendana na standards za umeme za Africa .
Na sihitaji kuonyesha ugwiji wowote hapo unless otherwise .
Nunua hiyo bidhaa boss kama unahitaji ,tuache hayo makando kwanza
 
Mkuu sio kitu cha ku convert. Kupata watts inabidi utupatie Voltage na Current na wala sio Voltage peke yake

Mkuu nashukuru umeona mapungufu ya jibu lako ingawa mteja aliyekuuliza swali la watts ngapi hujamjibu.Anyways nilikuwa najaribu kumsaidia mteja aliyekuuliza swali apate jibu stahiki.Barikiwa
Usijali mkuu nimeelewa ulichomaanisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom