Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,718
- 6,979
Waache wazinzi na waasherati, wafanye uzinzi na uasherati wao.Ila huyu mwanamke anaona raha kuharibu mahusiano ya wenzio, kwa hiyo kutembea na Diamond ameona haimtoshi.
Sasa hivi nasikia wapo wote na mzazi mwenzie Majizo hata kwenye birthday ya mtoto wao Fantasy Hamisa alilala kwa Majizo mpaka asubuhi, sasa sijui kwanini wanafanya siri wakati wameshazaa na nasikia wanapenda sana kulala hotel ya Ramada, Hamisa anajificha mwenyewe akikiingia kama mchawi.
Na Majizzo mnafiki wakati analala na Hamisa anajifanya kumpost Lulu na kumsifia wakati nafsi inamsuta, wekeni tu mahusiano yenu hadharani mrudiane mlee mtoto wenu, tatizo wote mmekutana hamjatulia ndio maana mnaogopa kuweka wazi mahusiano yenu.
nakaziaYa Ndani huyajui shoga..
Na asili ya wanaume ni tamaa..hata uwe mzuri vipiii!
Huwa siamini kama hajafikisha 25, ila kahangaika acha katusue mpaka nigeria alikitembeza mpaka akawa anasemwa na watoto wa mujini kuwa hana bahati.Sanaa!uzuri kagutuka mapemaaa jua linawaka before miaka 25
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpk naijeri looh!Huwa siamini kama hajafikisha 25, ila kahangaika acha katusue mpaka nigeria alikitembeza mpaka akawa anasemwa na watoto wa mujini kuwa hana bahati.
na wew umo khaa[emoji23]Na kapicha kake ungekapost[emoji445][emoji445]
Ndo dawa ya wanaume wacha warogwe tu pumbavu.Niliipata hii kaka haoni hasikii humuambii kitu!
Mjini kushea tuu!!wa kwako peke yako muumbe mwenyewe kama rahisi
Heee binamu! Makubwa haya. Sasa kijana wa Tandale inakuwaje tena. Mi nina wasiwasi hata yule mtoto mdg Dully siyo wa Diamond maana wako tofauti kabisaaaIla huyu mwanamke anaona raha kuharibu mahusiano ya wenzio, kwa hiyo kutembea na Diamond ameona haimtoshi.
Sasa hivi nasikia wapo wote na mzazi mwenzie Majizo hata kwenye birthday ya mtoto wao Fantasy Hamisa alilala kwa Majizo mpaka asubuhi, sasa sijui kwanini wanafanya siri wakati wameshazaa na nasikia wanapenda sana kulala hotel ya Ramada, Hamisa anajificha mwenyewe akikiingia kama mchawi.
Na Majizzo mnafiki wakati analala na Hamisa anajifanya kumpost Lulu na kumsifia wakati nafsi inamsuta, wekeni tu mahusiano yenu hadharani mrudiane mlee mtoto wenu, tatizo wote mmekutana hamjatulia ndio maana mnaogopa kuweka wazi mahusiano yenu.
duh! nandy ya chupi!er chupi ya nandy!Ndo nikuulize kilichokuwasha ku comment kama umeona haikuhusu, umbea tu ndo unapenda mxieww sura kama chupi ya nandy umbea tu
Hapo ndio hatujui sasa [emoji23]Na hata angepewa taarifa angekubali?
Ila mume anauma atiiiHawa wanawake wenzetu kiislam hawajitambui .uislamu wao unaishia kwenye kuvaa hijabu tu.uislam unaruhusu wake wengi.zari nae alivosikia mond akisema anaoa wake wanne kaamua kuokoka kabisa
Hutaki kuona pepo?Ila mume anauma atiii
Yaani binamu karudi juzi tu hlf wavimba macho wanataka kumtafutia ban ya mapemaHahaha warumi bana eti umalize nini?? Punguza povu binamu wanakutafutia ban hao
Sikia tu kwa mwenzio mamaIla mume anauma atiii
Atakuwa kashaenda 7 by this timeJamani hebu niondoleeni hizi code mwenzenu... Waziri anaoa ama??
Kaka umbea rahaaaaaNa wewe....