Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,889
- 8,486
Mobeto Ni mojawapo ya single mama wapumbavu nchi hii
Mondi itakuwa haachi Kodi ya meza ndo maana unasikia hayo mashudu ya Mobeto.Mobeto Ni mojawapo ya single mama wapumbavu nchi hii
😎😎😎Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefichua siri kuwa wakati Diamond akiwa na Zari walikuwa wanakutana na kwa siri na akafanikiwa kutundikwa mimba tatu na Diamond ambapo mbili zilitoka na moja wakafanikiwa kupata mtoto wa kiume Dylan.
Aaah wapi,Mondi itakuwa haachi Kodi ya meza ndo maana unasikia hayo mashudu ya Mobeto.
Na kuhusu kuchumia uchi,kiukweli kumemlipa Sana tofauti na Malaya wengine wa mtaani wanaouza k kwenye magroup ya WhatsApp.Kichwa kikikosa akili kiungo pekee kiumiacho ni uchi.
Huyu alishajiamulia kuwa mwili wake ndio mtaji na mayai yake ndio kitega uchumi.
Ajitahidi apate tajiri wa kweli kama kina Mo wenye gene byrational wealth azae nae sasa ili apumzishe kipochi manyoa chake. Maana papa inafanyiwa marekebisho uturuki mpaka itafikia wakati itashindikana kuibana tena.
Kwa Mondi kachemka, ww ushaona Mondi anamposti yule mtoto? au yupo nae karibu huyo mtoto maana mpaka sasa hajui mtoto wa nani.Upumbavu wake utaonekana kwenye mirathi.
Mobetto sio mjinga anajua anachokifanya.
Vita ya kujikomboa na umaskini inapiganwa kwa njia nyingi sana
Mobeto na yule aliyekuwa demu wa Moni central zone nimesahau jina ni vichwa maji sana.Kitendo Cha kugombana kdg na Diamond
Akaanza kumpost Dylan na billnass plus caption kibao za makopa kopa Ni upuuz usiovumilika kwa Mwanaume anaejitambua.
Kwa akili ya haraka haraka
Lzm ujue Huyu Mtoto nmepigwa, aliepostiwa ndo baba halisi ukzngatia kapost kusudi ili aumie roho.
Tukumbuke:
mwanamke mwenye hasira ndo huongea kweli
Aaah wapi,
Alikua anaachiwa posho Akaenda mahakaman kudai haitosh aongezewe
Alichokutana nacho mahakamani ikaonekana kumbe jamaa alkua anatoa nyng Sana, akapangiwa kwa mujib wa sheria[emoji4]
Marriage to Zari au relationship?Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefichua siri kuwa wakati Diamond akiwa na Zari walikuwa wanakutana na kwa siri na akafanikiwa kutundikwa mimba tatu na Diamond ambapo mbili zilitoka na moja wakafanikiwa kupata mtoto wa kiume Dylan.
Faida ya kujianika hivi ni nini?
====
Tanzanian model Hamisa Mobetto has sensationally claimed that Bongo star singer Diamond Platnumz wanted to have a child with her so desperately while married to Ugandan socialite Zari Hassan that he got her pregnant three times.
Mobetto however disclosed that they lost the initial two pregnancies before they got their son.
Diamond and Mobetto got a son, Dylan Nasseb, out of wedlock in August 2017.
At the time, the Cheche singer was in a relationship with Zari, who was then based in South Africa, and whom she had been cheating on with the beautiful model.
After the arrival of their baby, Mobetto and Diamond had a nasty fallout and at one point the outgoing model was forced to drag the singer to court for child support.
Recently, in a radio interview, she was asked if Diamond ever asked for a DNA test to ascertain if the boy was indeed his.
“Nadhani katika mtu mwenye uhakika zaidi kuhusu mtoto kuwa ni wake au sio wake ni Diamond, kwa sababu hata kabla sijapata mimba ya Dylan, nilishapata ujauzito wake mara tatu na bahati mbaya ukaharibika,” Hamisa responded to The Switch Team.
When reports emerged that Mobetto was expecting Diamond’s baby, the bongo flava star was quick to refute them in an attempt to save his marriage to Zari.
He eventually owned up that he indeed cheated on Zari and sired a child with Mobetto.
The singer even vowed he would do anything to salvage his four-year relationship with Zari before she Zari eventually dumped him on Valentine’s Day in 2018.
Na kuhusu kuchumia uchi,kiukweli kumemlipa Sana tofauti na Malaya wengine wa mtaani wanaouza k kwenye magroup ya WhatsApp.
Siku moja nilikutana nae ununio beach anasukuma Land Rover nyeupe Kali Sana,namba plate kaweka jina lake MOBETO.