Uzuri wa mwanamke siyo sura na umbo tu! Uzuri wa mwanamke ni combination ya vitu vingi sana eg akili, anavyojirahisisha kwa wanaume, haiba, mapenzi chumbani...list ni ndefu. Ni hizi combination ndiyo watu wasiojua huwa wanaita ''bahati''. Utasikia watu wanasema fulani ana bahati ya kupendwa! Au ana bahati ya kuolewa. Sasa tukija kwa huyu mama upstairs na jinsi anavyojirahisisha kwa wanaume hana tofauti na Wema. Hebu fikiria alienda USA kwa muda mfupi sana akawa ''ameshaokotwa'' na mwanamme na kupiga naye picha kama mpenzi wake. Kuna mwanaume mwenye akili zake atakubali kuoa mama wa sampuli hii? Yeye na Wema watakuwa wanatumiwa tu mpaka watakapojikuta wakati umewatupa mkono.