Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,143
- 7,403
Hili swala nadhani lilishaisha kitambu kwa sasa tunasubiri rasimu ya pili tu.
Mbona marudio??
Hivi Una ID Ngapi Vile???Simiyu Yetu said:Hili swala nadhani lilishaisha tunasubiri rasimu ya pili tu.
"Ningekuwa mshauri wa Raisi Jakaya Kikwete kuhusu muswada wa sheria ya mabadiliko ya katiba,ningemshauri asisaini sheria hiyo iliyopitishwa na Bunge mwezi uliopita"
"ushauri wangu unazingatia lengo moja kubwa:kutengeneza muafaka wa kitaifa, na kwa maana hiyo makundi yote ndani na nje ya Bunge ni muhimu kusikilizwa katika kufikia lengo.."
atumegemei raisi asiwasikilize wapinzani na wadau wengine..kuwasikiliza ndiyo uongozi.Nilazima awasikilize wote na atafute usawa kwenye mizania ya haki ili kuwe na muafaka wa kitaifa kwenye zoezi hili nyeti..
....."Raisi kikwete asisaini kwa faida ya kuondoa uwezekano wowote ule wa kutengeneza matabaka ya wabunge walio wengi ( majority) kutokufurahishwa na hatua hiyo.
Pili, kwa kuwa kulikuwa na wabunge wachache(minority)..na kwa kuwa katika demokrasia yoyote ile yenye afya nzuri maoni na sauti za wachache ni lazima visikilizwe kwa umakini zaidi ya wale walio wengi.."

Mbowe alitukanwa na Kigwangalah yupi.naomba kukumbushwa
naona huyu 'Daktari' kama maccm wengine atakuwa na matatizo.hukuwepo bungeni sku wanaupitisha??