Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,010
- 6,766
NakaziaKipengere xn,,, kama hauwezi kupambana nao, unagana nao
WSJ: US senators support $50-100 billion aid package for Ukraine.Kipengere xn,,, kama hauwezi kupambana nao, unagana nao
Mtegemea cha nduguWSJ: US senators support $50-100 billion aid package for Ukraine.
Senators from both sides have spoken in favor of a “one-and-done” Ukraine aid package, which could be passed before the expiration of the current spending bill on November 17.
MSAADA WA MWISHO HUU KIRANJA KASEMA
Hufa masikiniMtegemea cha ndugu
HAMAS atapigwa na Russia atakiona cha moto tu!Isarel na US siyo wajinga kuita wanajeshi wa IDF huko ulaya na kuanza Supply ya Silaha kwenda Tel Aviv. Wanajua hii inaweza kuwa Proxy war iliyojificha sana na escalation ikawa ndefu sana.
Wiki 2 zilizopita Bunge la US lilimnyofoa spika kwa tuhuma za kumbeba Biden ktk kupeleka package kubwa za misaada UKRAINE na kuumiza domestic life.
Kulishakuwa na tuhuma za Misaada kwenda Ukraine lakini silaha zinakuwa Smuggled kwenye black market na kuuzwa 'mitaani'
2 weeks later HAMAS anashusha mvua ya makombora kwa ndugu MPENDWA wa USA mpaka wamarekani wanauma mwno kwa uchungu.
New findings ni kuwa kuna makombora mengi yamebainika kuwa ni US made, na inasadikika yametokana na kuwa smuggled kutoka package ya msaada Ukraine, kutekwa na Warussi ama yaliachwa kwa Taleban. US wameagiza IDF wachunguze na kuwapa details waweze kutrack.
Soko la mafuta lilirudi Arab countries kama future plan sasa hali ya kiusalama huko imevurugika. Hatujui bado ARAB league wataazimia nini.
Kumeanza mvutano huko USA sasa kuhusu misaada mikubwa iende wapi?.. 1> ISRAEL ambapo EU na NATO hawatakubali kucompromise Arsenal zao kusaidia sana kwani bado hawaelewi Russia ana mpango gani au what will happen au 2> UKRAINE na ISRAEL kwa pamoja lakin wanahisi silaha za kwenda Ukraine hazifanyiwi tracking nzuri na zinafikia mikononi mwa magaidi.
This is well calculated na inaweza kuwa nyakati sahihi za kuanza kuPRAY FOR UKRAINE, sababu escalation ya Gaza haitaisha leo, Fuel economy inaumiza dunia ikowemu EU. Funding za kwenda UKRAINE zitapungua sana. And we all know what is NEXT.
Soma hapa:
10:17 GMT
US Senator Josh Hawley has insisted in a post on X (formerly Twitter) that “any funding for Ukraine should be redirected to Israel immediately.” According to the Republican politician, this should be done because the Israeli state is facing an “existential threat” due to the attack by Hamas.
Je ni nani yupo nyuma ya mashambulizi ya HAMAS?..
Russia?
Iran?
China?
au Mwamba USA mwenyewe ili apate sababu ya kumwaga Zele polepole kwa kushindwa Counter Offensive na kutoonesha dalili ya kurudisha Arshi iliyopotea.
Au wapinzani wa BIDEN?
ANYWAY VITA SIYO POA KABISA.
View attachment 2777901
Huu ni msemo wa waswahili lakin hausiani na hao jamaaMtegemea cha ndugu
Nakazia mkuu.Hapo nyuma ya hamasi Kuna USA na lengo la hiyo game ni USA kuficha aibu ya kujitoa kwenye Vita ya ucraine
Kwa Sasa tutegemee VITA KUISHA UCRAINE NA ISRAEL KUTO KUDUMU VITANI NA HAMASI
na baada ya hapo Africa tujiandae hasa magharibi
By YOUHAMAS atapigwa na Russia atakiona cha moto tu!
Hata Jwtz tungeruka nao tu ardhiniHizi sifa ambazo huwa inapewa Israel mbona kama ni za kubumba, yaan kupambana na Hamas mpka wapate msaada wa USA?
Umechambua vizuri mkuu Shukrani. Tuendelee Kuangalia Movie ya Middle East Muda Utatupa Jibu SahihiIsarel na US siyo wajinga kuita wanajeshi wa IDF huko ulaya na kuanza Supply ya Silaha kwenda Tel Aviv. Wanajua hii inaweza kuwa Proxy war iliyojificha sana na escalation ikawa ndefu sana.
Wiki 2 zilizopita Bunge la US lilimnyofoa spika kwa tuhuma za kumbeba Biden ktk kupeleka package kubwa za misaada UKRAINE na kuumiza domestic life.
Kulishakuwa na tuhuma za Misaada kwenda Ukraine lakini silaha zinakuwa Smuggled kwenye black market na kuuzwa 'mitaani'
2 weeks later HAMAS anashusha mvua ya makombora kwa ndugu MPENDWA wa USA mpaka wamarekani wanauma mwno kwa uchungu.
New findings ni kuwa kuna makombora mengi yamebainika kuwa ni US made, na inasadikika yametokana na kuwa smuggled kutoka package ya msaada Ukraine, kutekwa na Warussi ama yaliachwa kwa Taleban. US wameagiza IDF wachunguze na kuwapa details waweze kutrack.
Soko la mafuta lilirudi Arab countries kama future plan sasa hali ya kiusalama huko imevurugika. Hatujui bado ARAB league wataazimia nini.
Kumeanza mvutano huko USA sasa kuhusu misaada mikubwa iende wapi?.. 1> ISRAEL ambapo EU na NATO hawatakubali kucompromise Arsenal zao kusaidia sana kwani bado hawaelewi Russia ana mpango gani au what will happen au 2> UKRAINE na ISRAEL kwa pamoja lakin wanahisi silaha za kwenda Ukraine hazifanyiwi tracking nzuri na zinafikia mikononi mwa magaidi.
This is well calculated na inaweza kuwa nyakati sahihi za kuanza kuPRAY FOR UKRAINE, sababu escalation ya Gaza haitaisha leo, Fuel economy inaumiza dunia ikowemu EU. Funding za kwenda UKRAINE zitapungua sana. And we all know what is NEXT.
Soma hapa:
10:17 GMT
US Senator Josh Hawley has insisted in a post on X (formerly Twitter) that “any funding for Ukraine should be redirected to Israel immediately.” According to the Republican politician, this should be done because the Israeli state is facing an “existential threat” due to the attack by Hamas.
Je ni nani yupo nyuma ya mashambulizi ya HAMAS?..
Russia?
Iran?
China?
au Mwamba USA mwenyewe ili apate sababu ya kumwaga Zele polepole kwa kushindwa Counter Offensive na kutoonesha dalili ya kurudisha Arshi iliyopotea.
Au wapinzani wa BIDEN?
ANYWAY VITA SIYO POA KABISA.
View attachment 2777901
Hakika mkuuNakazia mkuu.
Hasara ya Gaza si kubwa kama HASARA ya Palestina.
Russia walilijua hilo kuwa ni vita ya uchumi ndo maana akashikilia tu kamba na kutotaka kutumia gharama kubwa na masilaha mengi kupambana hovyo.