Hamad Rashid kujitoa CUF leo?

mwenye updates za alichoongea hamad rashid plz atuwekee hapa,
 
Hako kajamaa kana uchu wa madaraka nakenyewe.. Wanasiasa wetu bwana matumbo yao kwanza watz badaye
 
Ajitoe CUF kwani bado mwanachama wao? si walishamvua uanachama siku nyingi huyu au kuna Hamad mwingine?
 
Saa 4 haijafika? Mbona hakuna habari au jamaa ameingia mitini?
 
Hapo kwenye red tu kapigilia msumari,sasa wanaposimama wakina mtatiro na vibaraka wenzake pale jangwani kukanusha inakuwaje hapa?Asante amadi kwa kuanza kudai talaka...
 
Mashauri yanayopelekwa mahakamani kama hili la Hamad kupinga kuvuliwa ubunge yangekuwa yanaamuliwa haraka sana. Sioni uhalali wa Hamad kuendelea na ubunge ilhali si mwanachama wa chama chochote eti tu kwa sababu shauri lake halijaamuliwa na mahakama. It is costly to the taxpayer.
 
Ina maana mpaka sasa haijajulikana press conference ilikuwa ni ya nini..? No updates zozote..?
 
Hapo kwenye red tu kapigilia msumari,sasa wanaposimama wakina mtatiro na vibaraka wenzake pale jangwani kukanusha inakuwaje hapa?Asante amadi kwa kuanza kudai talaka...
CDM ilikataa ushirika na CUF bungeni kwa kuwa CUF ilikuwa na ushirika na CCM serikalini Zanzibar. Unakumbuka mashambulizi ya huyu Rashid kwa Mbowe na kambi nzima ya upinzani bungeni? Do not trust this crook. Hata yeye yupo kwa maslahi ya tumbo lake tu.
 
Kweli mkuu huyu jamaa ni mnafiki wa kutupwa,alipovuliwa kiongozi wa upinzani bungeni aliongea sana na kutaka kuleta kanuni zake za kiajabu ajabu huku akijua atasaidiwa na mumewe gamba....
 
Kuna waislamu wajanja


Kila siku zinavozidi kwenda mbele ndio tunazidi kurudi nyuma badala ya kupiga hatua katika kuchangia hoja.Hoja iliyopo hapa ni ya Hamad Rashid na hakuna kilichoongelewa dini ya aina yoyote ile,sasa imekuaje kuanzisha hoja ya uisilamu badala hoja iliyokusudiwa.Halafu baadae useme waisilamu wakorofi kwasababu wamejibu kwa jazba?Come on people kama unahisi huna hoja ni bora unyamaze kuliko kuchafua hali ya hewa.Watanzania wanachafuliwa na watu wachache wasio na hoja zenye muelekeo mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…