RANGI YA BENDERA KAMA YA CUFYaani hata ADC makao makuu yake yako Buguruni ......................!!?
Kwa kibaraka mwenzake Lipumba.Yaani hata ADC makao makuu yake yako Buguruni ......................!!?
Maneno haya angeyazungumzia Zanzibar yangeleta maana, sio Buguruni!!!!!Wakati mgogoro wa uongozi kati ya Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Profesa Ibrahim Lipumba na Katibu mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamadi ukishika kasi, Mwenyekiti wa Chama cha ADC, Hamad Rashid Mohamed amesema mgogoro huo unakolezwa na Maalimu Seif kutokana na kung’ang’ania madaraka