Wazolee JF-Expert Member Joined Sep 1, 2018 Posts 4,126 Reaction score 4,825 Jun 6, 2021 #21 Kipindi hicho walikuwa na wateja wachache ndio maana Internet yao ilikiwa fasta kadiri wateja wanavyo ongezeka na load inaongezeka ndio maana sasa ipo slow Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi hicho walikuwa na wateja wachache ndio maana Internet yao ilikiwa fasta kadiri wateja wanavyo ongezeka na load inaongezeka ndio maana sasa ipo slow Sent using Jamii Forums mobile app