watu wangu kama 15 leo wamehama mtandao , kumbe sababu ni hiyo !Aisee halotel walikuja vizuri balaa mpaka nikahisi ukombozi umekuja maana tulichoka
Kwanza nikiri bado wana vifurushi cheap sana....sio mbaya kivile kulinganishe na mitandao fulani hivi
Ila kwasasa wamekwisha aisee yaani wapo slow balaa ushawah kuona ukitoka ukiwa mikoani ukatumiwa msg watssap ikachukua masaa 4 ndo unaipata???aisee halotel kwa Internet wamekua slow sana yaani
Hapa dsm tu mjini halotel inasoma E 24 hours si balaa hii?
Hivi nani kawaroga?
Nimewaza sana nihamie zantel au ttcl vipi mnaotumia hii ikoje??
Njoo tigo kumenoga
Hiyo siyo halotel ni simu yako ,Mimi huku nipo Tanganyika -masagati,kilombero naipata halotel vizuri Sana'a na mnara upo mlimba kilomita 260 kutoka nilipo cheki simu yako vizuri hakuna mtandao wa afadhari kama halotelAisee halotel walikuja vizuri balaa mpaka nikahisi ukombozi umekuja maana tulichoka
Kwanza nikiri bado wana vifurushi cheap sana....sio mbaya kivile kulinganishe na mitandao fulani hivi
Ila kwasasa wamekwisha aisee yaani wapo slow balaa ushawah kuona ukitoka ukiwa mikoani ukatumiwa msg watssap ikachukua masaa 4 ndo unaipata???aisee halotel kwa Internet wamekua slow sana yaani
Hapa dsm tu mjini halotel inasoma E 24 hours si balaa hii?
Hivi nani kawaroga?
Nimewaza sana nihamie zantel au ttcl vipi mnaotumia hii ikoje??
Nilikuwa naangalia simu unayotumia kwanza nimegundua in ile inayokulazimisha Ili update 3G+ lazima uweke simu kadi kwenye namba moja pia inakulazimu ufanye ile kuseti kwenye 3G maana IPO 2GAisee halotel walikuja vizuri balaa mpaka nikahisi ukombozi umekuja maana tulichoka
Kwanza nikiri bado wana vifurushi cheap sana....sio mbaya kivile kulinganishe na mitandao fulani hivi
Ila kwasasa wamekwisha aisee yaani wapo slow balaa ushawah kuona ukitoka ukiwa mikoani ukatumiwa msg watssap ikachukua masaa 4 ndo unaipata???aisee halotel kwa Internet wamekua slow sana yaani
Hapa dsm tu mjini halotel inasoma E 24 hours si balaa hii?
Hivi nani kawaroga?
Nimewaza sana nihamie zantel au ttcl vipi mnaotumia hii ikoje??
Aisee halotel walikuja vizuri balaa mpaka nikahisi ukombozi umekuja maana tulichoka
Kwanza nikiri bado wana vifurushi cheap sana....sio mbaya kivile kulinganishe na mitandao fulani hivi
Ila kwasasa wamekwisha aisee yaani wapo slow balaa ushawah kuona ukitoka ukiwa mikoani ukatumiwa msg watssap ikachukua masaa 4 ndo unaipata???aisee halotel kwa Internet wamekua slow sana yaani
Hapa dsm tu mjini halotel inasoma E 24 hours si balaa hii?
Hivi nani kawaroga?
Nimewaza sana nihamie zantel au ttcl vipi mnaotumia hii ikoje??
Uku mwanza ni H+ hakuna utataAisee halotel walikuja vizuri balaa mpaka nikahisi ukombozi umekuja maana tulichoka
Kwanza nikiri bado wana vifurushi cheap sana....sio mbaya kivile kulinganishe na mitandao fulani hivi
Ila kwasasa wamekwisha aisee yaani wapo slow balaa ushawah kuona ukitoka ukiwa mikoani ukatumiwa msg watssap ikachukua masaa 4 ndo unaipata???aisee halotel kwa Internet wamekua slow sana yaani
Hapa dsm tu mjini halotel inasoma E 24 hours si balaa hii?
Hivi nani kawaroga?
Nimewaza sana nihamie zantel au ttcl vipi mnaotumia hii ikoje??
@demiss umesema una mtandao mzuri wa tigo???Njoo tigo kumenoga
Jajapata!Daah pole sana kwahiyo hata taarifa za Iran kuchapwa na us pia umezipata kwa tabu.
Halotel maji shingoni, Halotel kunani. Halotel ni Mdebwedo. Halotel itabaki historia.Internet ipo slow