Hata mimi eneo langu tigo ana speed zaidi ya halotelYes wana speed ila hawafika hapa kwa tiGO, kwenye hii picha hapa chini ni speed ninayopata kwenye dashboard na chin yake ni torrent downloder Bitcomet.
Badae ikapanda mpaka 12.85 Mbps
4.76 mpaka 5Mbps mkuu
hiyo nihatari tunaelekea kuzuri.
Yes wana speed ila hawajafika hapa kwa tiGO, kwenye hii picha hapa chini ni speed ninayopata kwenye dashboard na chini yake ni torrent downloder Bitcomet.
Badae ikapanda mpaka 12.85 Mbps
Yes wana speed ila hawajafika hapa kwa tiGO, kwenye hii picha hapa chini ni speed ninayopata kwenye dashboard na chini yake ni torrent downloder Bitcomet.
Badae ikapanda mpaka 12.85 Mbps
4.76 mpaka 5Mbps mkuu
Makongo Juu MkuuMkuu unaishi maeneo gani, maana tigo kwangu hata saa 9 usiku sipatii zaidi 4 Mbps