PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,716
- 1,842
Kaka ni kweli, walianza vizuri sana ili kuteka soko, hiyo ni mbinu ya masoko kaka, cha msingi ni kuhamia mtandao mwingine kaka, achana nao.Habari wakuu mimi ni moja ya wale watu waliojiunga na mtandao wa halotel hivi karibun ili kujionea utofauti na mitandao mingine lakin hawa jamaa wa halotel siwaelewi kwanini kila nikijaribu kudownload mafile kama movie zinazoanzia ukubwa wa 150mb wananipunguzia download speed.. Hii ni mara ya pili kila nikianza kudownload file utakuta navoanza kudownload download speed inakuwa juu(320kb/s) lakin ikifikia katikati inakuta download speed inapungua hadi 16kb/s..sielew tatizo nini
NB.Natumia line ya mwanachuo na huwa najiunga na kile kifurush cha wiki cha mb 500
ULIKUWA UNAFRAHIA SPEED TU BILA KUJUA MB ZINAPUKUTIKA.....Dah ila kweli yani nimenunua gb 1 within no time imeisha.mmmm sikuamini
Aende wapi kwa mfanoKaka ni kweli, walianza vizuri sana ili kuteka soko, hiyo ni mbinu ya masoko kaka, cha msingi ni kuhamia mtandao mwingine kaka, achana nao.
Umejaribu kutumia lain nyingine?? Mbona kwangu hawana shida..nashusha file kubwa kila siku bila disconnection yoyote..nakushaur jarbu lain yao nyingine if possibleKwa upande wangu halotel walikuwa ndo chaguo langu la kwanza kwa makampuni yanayotoa huduma ya internet na kiukweli by then nilifurahia huduma zao lakini kwa zaidi ya wiki mbili sasa sitaki kuona hata mabango yao barabarani,kila dk inadisconnect,spidi yenyewe ni matatizo balaa nimeamua kuachana nao tu
Voda 1gb 1500mimi nimeshaa achana nao vifurushi vyenyewe ni ghali kuliko hawa akina airtel , et 600MB Kwa alfu moja
Labda ulipo ww mkuu..Hao sijawahi kuwasifia Internet iko slow tu sijui Kwanini wanasifiws