Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,475
- 11,674
Sina uhakika dada. Ila nili suggest tu kama hao jamaa wanakuletea mapicha wateme tu. Ngoja waje wanaoijua hiyo mitandao watakupa options zingine
Kwan umefanyaje kupost?Sijui ni kwangu peke angu au?
Tangu saa mbili asubuhi mtandao hauwaki.. Hata kupiga *102# haukubali
Sijui shida nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan katika mtandao nmeshindwa kutumia ni huu, Nmeshasajili line zaid ya mara mbili ila sjauweza
Haka kaline nakatupa aisee.. Nashukuru sijaitumia namaba kwenye vitu muhimu kama nyaraka..
Bado nakusubiri dear!!