Naomba kufahamishwa halmashauri ya wilaya lushoto ni Kata ipi ina jiografia nzuri na ina miundombinu safi ya kufika wilayan na jiografia ninayosema ni uwepo wa ardhi ya kilimo na huduma za msingi 0629088763
Lushoto yote ina mambo mengi ya kujifunza, ils Lushoto mjini kwenda mpaka mkuzi nipazuri zaidi, km unapenda kwenda kutalii tuwasiliane kuna sehemu nyingi wanapenda kwenda wazungu