Deus F Mallya
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 705
- 442
Kujaza "WASOMI" sio tija mkuu. Tija ni weledi na utendaji uliotukuka. Kuna msemo huwa unasema "Wasomi ni Chakula ya Wanasiasa" nafikiri umeshausikia. Umeuliza haujui TATIZO NI NINI? Tatizo ni sisi Watanzania wapiga kura tunaowachagua hao so called "Wasomi" kutuwakilisha na kuleta Maendeleo katika jamii,lakini wakiingia kushika hizo nafasi ndio hivyo wanajiwekea Bajeti za MAJOHO TSHs 100,000,000/ wakati barabara Kama ya Mwananyamala hospital na nyinginezo ziko wa zimejaa mahandaki (mashimo) sugu.mimi nashindwa kuilewa hii halmashauri ya kinondoni imejaza wasomi kibao lakini mambo yake ya hovyo kabisa... toka safu ya uongozi wa kiutendaji mpaka kwa wawakilishi wa wananchi mambo ni hovyo hovyo sijui tatizo ni nini.........
Utafiti wa ki document unaendelea kufanywa kuthibitisha kuwa Halmashauri ya Kinondoni imekuwa ikitenga 100Million kila mwaka kwa ajili ya kushonea majoho na 95millioni kwa ajili ya Ulinzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo.
My take: Imekuwa ni kawaida sana kwa halmashauri kutumia kwa kufuru fedha badala ya kuelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.
Kwa hali hii bado Madiwani wengi ni ama hawana uwezo wa kuwawakilisha wananchi kwa standard au hawana uelewa wa kutosha kuchambua vitabu vya budget kikamilifu.

Kwa elimu ipi waliyonayo ya kufanya hivyo?
Wakivaa nguo zao za kawaida wanapokutana inapunguza nn? ndio tatizo letu, watu wakipata kanafasi kidogo wanataka recognition ili wapewe kaheshima flani hivi. Hawajui heshima inakuja kwa kazi nzuri bila hata kui-force kwa kuvaa majoho. Bado tuna mengi ya kufanya amabayo yangetimia au walau yangepungua kwa kutumia hyo mil.100Kwanza hii fashion ya majoho kwa madiwani sijui aliileta nani,upuuzi tu.
Hakuna mwizi mbaya kama aliyesoma!!! shukurani kwa useful post mkuu!!Kujaza "WASOMI" sio tija mkuu. Tija ni weledi na utendaji uliotukuka. Kuna msemo huwa unasema "Wasomi ni Chakula ya Wanasiasa" nafikiri umeshausikia. Umeuliza haujui TATIZO NI NINI? Tatizo ni sisi Watanzania wapiga kura tunaowachagua hao so called "Wasomi" kutuwakilisha na kuleta Maendeleo katika jamii,lakini wakiingia kushika hizo nafasi ndio hivyo wanajiwekea Bajeti za MAJOHO TSHs 100,000,000/ wakati barabara Kama ya Mwananyamala hospital na nyinginezo ziko wa zimejaa mahandaki (mashimo) sugu.
Tafakari.