Halmashauri kuanza kuajiri

rich73

Member
Joined
Jun 21, 2014
Posts
20
Reaction score
2
Jamani eti nasikia Halmashauri na Manispaa zitaanza mfumo wa kuajiri wenyewe bila kupitia Utumishi. Hebu wanaofahamu watudokezee inakuaje hapa?
 
Mkuu ulikuwa wapi mbona mpaka waraka ulishatoka ukabainisha aina ya nafasi ambazo wanapaswa kuajiri zimeanishwa vema nenda halmashauri waraka upo mkuu.
 
kupata waraka kutoka halmashauri ni kama ndoto ya kujenga angani
 
Mkuu ulikuwa wapi mbona mpaka waraka ulishatoka ukabainisha aina ya nafasi ambazo wanapaswa kuajiri zimeanishwa vema nenda halmashauri waraka upo mkuu.

Unaweza uka summarize hizo nafasi ambazo halmashaur wenyewe wanaweza kuajiri..
 
Jamani eti nasikia Halmashauri na Manispaa zitaanza mfumo wa kuajiri wenyewe bila kupitia Utumishi. Hebu wanaofahamu watudokezee inakuaje hapa?

Ndio ila kwa kada za chini
 
Watakuwa wanaajiri ila ni kwa zile nafasi za chini chini tu,
 
Hapa kama sio usafi na uhamishaji barua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…