Halima Mhando Rajab, akizungumza kupitia Crown FM, amegusia kuhusu athari za vijana kutoshiriki katika uchaguzi na jinsi hali hiyo inavyoathiri utendaji wa vyama vya siasa, akisema wazi, 'Kususia uchaguzi ni kosa, ni sawa kususia maendeleo.''

Hapa ni sawa na kusema kuhoji madudu yanayofanya na sirikali na vyombo vyake ni kususia maendeleo.Ikumbukwe tumewahi kudanganywa maendeleo hayana chama.Ila waliochagua kwingine waliambiwa nyie subirini kwanza hii ni zamu ya ukanda fulani ama hamletewi maendeleo kwa kuwa hamjachagua chama fulani.Tanzania tunayo safari ndefu kwanza kutambua nini haki zetu,katiba inatupa haki zipi na watawala wanazibananga haki zipi,zipi wanazitindinganya na zipi wanazibananga?