Halima Mdee amlipua Chenge

Dah! Jamaa wanajadili namna ya kupiga pesa jamani! jamani! Mbona hawa jamaa wanaharaka sana?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

sasa oportunity ya ku[iga pesa imejipresent yenyewe mafisadi wafanyeje??mbango mzima ni kupiga pesa zetu walipa kodi he he he he he he he he he he he
 
Huwaoni akina Lukosi,Zemarcopolo,Ritz,Bunge,Mwanadiwani hata siku moja wakichangia mada zenye mashiko na tija kwa Taifa letu kama hizi.Wanapenda kushiriki katika mada za kipuuzi na za kimipasho kama kawaida yao.
 
Huyu Professa Ma...Vi kweli huyu, hivi Profesa mzima kweli atatoa statement ya kipuuzi namna hiyo? Sasa mathalan ikitokea Sera mnayojadili itakuja na kipengele kinachozuia wawekezaji kutoka nje, atakuja kuwaambia nini? Hii kauli tafsiri yake ni kwamba hiyo ndiyo Sera halisi, (final draft) na wabunge wameonyeshwa ili ku-justify kwamba waliiona na kutoa maoini lakini hakuna maoni yatakayoingizwa katika hiyo sera. Nilikuwa namheshimu miongoni mwa maprofesa hazina kwa Tanzania lakini no more
 
Kweli wasomi hawsitendei haki nchi hii, huyu Chenge ni mhitimu wa Havard School of Law, lakini haitendei haki kabisa nchi hii, kweli CCM kuna najambazi ya kutosha
Ndiyo maana mie nikimkumbuka chenge, yaani hata hiki chuo nakiona dhalimu. Lakini nadhani huyu jamaa "implanted" aisey mtu huwezi kuwa huna hata chembe na uchungu na nchi yako kwa kiasi hiki
 
Huwaoni akina Lukosi,Zemarcopolo,Ritz,Bunge,Mwanadiwani hata siku moja wakichangia mada zenye mashiko na tija kwa Taifa letu kama hizi.Wanapenda kushiriki katika mada za kipuuzi na za kimipasho kama kawaida yao.

Awa watu ni wa ajabu
 
Heko zako dada Halima.


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mbona hii ni hatari sana hivi vizazi vyetu watambulia nini mbona tumeambiwa gas ya mtwara inaweza kutuondoa kwenye giza na hii ni yanini tena kama ni biashara sisi tumeshindwa biashara
 

Hili nalo neno. Hawa wezi wa ccm hawana morality ya kutushauri kuingia kwenye mikataba mingine bila kuzingatia maslahi ya taifa letu.
 
Kumbe CDM walienda pamoja na agizo la Zitto kuwataka wasiende. Posho tamu sana!1
 
Hivi mikataba yenyewe si tumeshasaini na Wachina au kuna mingine yaja? Katika hili vuguvugu la mabadiliko CCM inataka " Kuwahi chako mapema" ili chama kingine kikichukua nchi kikute mikataba ambayo ni mibovu na haiwezi kuvunjwa kwa vyovyote vile.
Tusiamini kuwa wawekezaji wanakuja kuinua uchumi wetu la hasha wanakuja kwa lengo la kuinua uchumi wa kwao na walishafanya upembuzi yakinifu ikiwa ni pamoja na kujua viongozi wetu ni ....... Mimi nashauri hiyo mikataba na sera tunaweza kutafuta washauri wa kuiptia hata lkama ni kutoka nchi za nje! Tunajiuliza ndio tuko nyuma lakini mwendo wa kobe ..... Kuhusu Mtwara kupatikana kwa gesi nilifikiri ndio mwanza wa kufunguka kwa Mtwara corridor. i.e. Umeme from Mtwara to Rukwa thru national grid system. A rail system from Mtwara to Mbamba Bay... (Malawi cargo). Thru gas uchumi wa kanda ya kusini ungechangamka vilivyo..Elimu, Kilimo, ufugaji etc
 
Chenge ni mchawi na adui wa Taifa hili
 
Mimi nashauri watu wanaosomea sheria, wasomee mambo ya mikataba, maana huko mbele kuna kesi nyingi sana kuhusu hawa viongozi wetu!!!! They are really annoying me with their frauding behavior!!
 
There lies the problem though, kwa nini awe na mamlaka hayo administratively? Sio kosa la Andrew Chenge hata kidogo, nchi imeuzwa analaumiwa mmoja, kwa nini mlikabidhi hati miliki za nchi ashikilie?

I mean, think about it, Chenge anapojibu shutuma za Mdee he says something very poignant,kasema hakuna kilichofanyika gizani, and what's the interpretation of that? Kwamba utaratibu ama sheria zilikuwa zinatutaka tumpe mtu mmoja madaraka halafu tumkodolee macho mchana kweupe anaingia mikabata ya mauzo ya nchi. Peke yake, ndio mfumo, ndio utaratibu, kama unavyosema alikuwa anafanya, peke yake!

Hapo ni kosa la Chenge? Jitu moja kati ya milioni 45 haliwezi kupewa plenary powers za kuingia mikataba ya nchi while hii mijitu mingine milioni 44 pointi tisa tisa imekaa tu inasubiri eti raia mmoja afanye mema kwa uzuri wa roho yake halafu baadae mje mumlaumu. Nchi haziendeshwi hivyo hata kidogo, mfumo mbovu, sheria bovu, katiba bovu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…