themagnificient JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 1,065 Reaction score 3,845 Jul 13, 2023 #1 Tunaambiwa wameanza Ruti ya Mbagala, huku Kivukoni hadi Faya watu wamejazana si kawaida na magari hamna.
Tunaambiwa wameanza Ruti ya Mbagala, huku Kivukoni hadi Faya watu wamejazana si kawaida na magari hamna.
berylyn JF-Expert Member Joined Dec 26, 2021 Posts 920 Reaction score 2,755 Jul 13, 2023 #2 Potezea hiyo nauli ambayo umekwishalipa panda daladala .
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,767 Reaction score 54,912 Jul 13, 2023 #3 themagnificient said: Tunaambiwa wameanza Ruti ya Mbagala, huku Kivukoni hadi Faya watu wamejazana si kawaida na magari hamna. Click to expand... Waulizeni wa Kimara watawapa majibu vizuri. Mwendokasi haujawahi kukidhi idadi ya abiria hasa jioni na asubuhi
themagnificient said: Tunaambiwa wameanza Ruti ya Mbagala, huku Kivukoni hadi Faya watu wamejazana si kawaida na magari hamna. Click to expand... Waulizeni wa Kimara watawapa majibu vizuri. Mwendokasi haujawahi kukidhi idadi ya abiria hasa jioni na asubuhi
Nangu Nyau JF-Expert Member Joined Jul 1, 2022 Posts 6,397 Reaction score 17,586 Jul 13, 2023 #4 ufanisi wa mwendokasi ni mdogo sana, apewe kazi DP WORLD.
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,767 Reaction score 54,912 Jul 13, 2023 #5 Nangu Nyau said: ufanisi wa mwendokasi ni mdogo sana, apewe kazi DP WORLD. Click to expand... Kuna kampuni ya UAE inaitwa Emirate National Group ilisemwa wamepewa kazi ya kuisimamia mradi wa mwendokasi sijui iliishia wapi? Ngoja tuone labda awamu hii watakuja kweli maana nchi inafunguka
Nangu Nyau said: ufanisi wa mwendokasi ni mdogo sana, apewe kazi DP WORLD. Click to expand... Kuna kampuni ya UAE inaitwa Emirate National Group ilisemwa wamepewa kazi ya kuisimamia mradi wa mwendokasi sijui iliishia wapi? Ngoja tuone labda awamu hii watakuja kweli maana nchi inafunguka
S Sweet Dulamu New Member Joined Nov 22, 2016 Posts 4 Reaction score 2 Jul 13, 2023 #6 themagnificient said: Tunaambiwa wameanza Ruti ya Mbagala, huku Kivukoni hadi Faya watu wamejazana si kawaida na magari hamna. Click to expand... Kuongeza ruti bila kuongeza mabasi ni kututesa tu abiria tunaotumia hii huduma, mfano Mbezi Mwisho asubuhi magari ni machache sana
themagnificient said: Tunaambiwa wameanza Ruti ya Mbagala, huku Kivukoni hadi Faya watu wamejazana si kawaida na magari hamna. Click to expand... Kuongeza ruti bila kuongeza mabasi ni kututesa tu abiria tunaotumia hii huduma, mfano Mbezi Mwisho asubuhi magari ni machache sana