Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 112
- 213
Ebwana weeeMinyoo hyo mkuu.
Kwa iyo hii dawa ni kwenda hosptalMinyoo au ulcers
Sawa mkuu mapema tu kesho tukijaaliwaKapime minyoo mkuu na ulcers
Hapana sio mjamzito ata mm nilijua ni ivo ila leo hii amepima hana ujauzitoMkeo mjamzito wewe Hujui,umembebea hiyo mimba
Ok mkuuAssalamualaikum. Hatua ya mwanzo: Nunua dawa ya minyoo jioni ya leo na ule kesho asubuhi In'Shaa'Allah. Ukienda pharmacy utapewa dozi ya siku 3
Malaria nayo ina hiyo tabia shing, tena akifikia hapo na kaushuzi kananuka hatariKama sio minyoo utakua unakunywa vinywaji vyenye sukari kupita kiasi
Asidi tumboni imezidi imepekea kulegea kwa oesophagus hivyo kiasi fulani cha nyongo toka tumboni hupanda juu na kuleta uchungu au kichefuchefu au vyote.Ndugu zangu musinicheke ila nina hali ya kupata kichefuchefu na kujiskia kutapika muda mwingi sana ila sitapiki mda wote natema tu mate naomba msaada hii hali inasababishwa na nini nitumie nini ili iondoke
Hapana sjachekPole mkuu vp ulicheki vidonda vya tumbo?
Kacheki mkuu na kuna jamaa apo juu amekueleza vema zaidi kuhusu asidi kuwa nyingi tumboniHapana sjachek
Sawa ndugu nitaendaKacheki mkuu na kuna jamaa apo juu amekueleza vema zaidi kuhusu asidi kuwa nyingi tumboni