S Shacks John Member Joined Sep 13, 2013 Posts 10 Reaction score 0 Mar 26, 2014 #1 Usiku wa kuamkia leo hali ya hewa ilikuwa siyo nzuri kutokana na Radi kal zilizotawala masikioni mwa wakazi wa wilaya hiyo pamoja na giza nene lililotanda cha kushangaza hakuna mvua iliyonyesha tulichoambulia ni manyunyu tu.
Usiku wa kuamkia leo hali ya hewa ilikuwa siyo nzuri kutokana na Radi kal zilizotawala masikioni mwa wakazi wa wilaya hiyo pamoja na giza nene lililotanda cha kushangaza hakuna mvua iliyonyesha tulichoambulia ni manyunyu tu.
charty JF-Expert Member Joined Oct 28, 2013 Posts 7,460 Reaction score 6,001 Mar 26, 2014 #2 Hayo ndo mabadiliko ya nchi mkuu,pia tegemea siku moja radi kwenye jua kal
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Mar 26, 2014 #3 Mvua za mwaka huu sio za kuaminika sana zina majanga
O ommymbwambo Senior Member Joined Mar 25, 2014 Posts 192 Reaction score 66 Mar 26, 2014 #4 Moshi mvua imenyesha usiku wa kuamkia leo na mingurumo ya radi ilikuwa mikali sana.ndo masika yenyewe haya.
Moshi mvua imenyesha usiku wa kuamkia leo na mingurumo ya radi ilikuwa mikali sana.ndo masika yenyewe haya.