ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,010
Ni mwendo wa kitonga tu saivi!! Unabana mafuta mkuu!!nasubiria 22/ july leaders club...castle lite unlocks...15000 yangu tu namwona diamond,vee money,navykenzo,casper nyovest,future etc......
vimada wangu zamani nilikua nawajali sana lakini siku hizi hata wakini deep, sipigi. huu upepo sio. ha ha ha ha haHuu upepo sio. Hata ukiniletea kadi ya mchango wa harusi, ukiondoka natupa!
Hatariiii!! Tafadhali Nipigie, Salio lako halitoshi. Hizo ndio Meseji ambazo kwenye simu yako hazikosi!!vimada wangu zamani nilikua nawajali sana lakini siku hizi hata wakini deep, sipigi. huu upepo sio. ha ha ha ha ha
Wasanii walikwisha chukua chao mapema wakati wa KAMPENI...Hizo ni dalili za kusomeka kwa namba mkuu, bado kidogo tuanze kusoma za kirumi sasa
Kwa hiyo acha ile kwao etWasanii walikwisha chukua chao mapema wakati wa KAMPENI...
Deep=Beepvimada wangu zamani nilikua nawajali sana lakini siku hizi hata wakini deep, sipigi. huu upepo sio. ha ha ha ha ha
Bendi zilikufa miaka mingi kabla hata ya utawala huu. Kwa mfano akudo impact imekufa japo jina lipo mapacha watatu imekufa chokoraa karudi twanga japo jina lipo FM akademia iliathirika zaidi baada ya mmiliki wake martin kasyanju kufariki japo bado ipo. Msondo ngoma miaka zaidi ya mitano inafanya show ya bia pale brake point ya mjini kule posta kiujumla muziki wa dansi umekufa au umeanza kufa miaka mingi nyuma lkn club bado zinafanya vizuri japo show za bingo fleva zimepungua kidogo kutokana na spirit ya kubana matumizi ya magufuli kuingia mpk kwenye mashirika binafsi. Spirit hii ndiyo itakayoleta maendeleo kwa serikali hadi mtu mmoja mmoja nchi zilizoendelea spirit ya kubana matumizi ipo karne nyingi tukumbuke ukienda kwa mzungu hukaribishwi msosi kama hukutoa taarifa n.k hii ina maanisha wazungu wako makini na matumizi lkn sio masikini. Watanzania sasa tuishi kwa budget na kufanya kazi zaidi tutaendelea na tutamkumbuka magufuli.Kuna siku nilishuhudia bend kubwa ya dansi ikitumbuiza kiingilio bia..ni balaa.