Wadau wa elimu na wote wenye kupenda elimu tanzania,muda mfupi uliopita pamemalizika mkutano fulani wa chama cha walimu ngazi za juu.
Kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya uaminika inasemekana kumetokea sintofahamu kuhusu chama hicho kukaa kimya muda mrefu kutoana na madai mbalimbali ya wanachama wake.
baadhi ya wajumbe wamehoji kwa nini chama kinakaa kimya bila ya kuikumbusha serikali kuhusu madai mbalimbali ya wanachama,ilhali wanachama ndio walikiweka chama hicho madarakani na kinaishi kutokana na michango yao. Taarifa zaidi tutaendelea kuwajuza kutoa ndani ya chama.
Walimu haki na wajibu.
Mwisho.