nn miaka 26,ilo tatizo lilishanitokea na nimepimwa nikaambiwa nipo safi,nimefanyiwa na kipimo cha hsg,lakn wapi? Cjatumia vidonge ivo
wapi mzizi mkavu kaka,haya jibu maswali hayo kwnza ndo usaidiwe mi naenda kumwita mzizi mkavu
mimba ilishaharibika ndg,baada ya hapo ckupata tena,nikaenda hosp nikafanyiwa vipimo vya hsg sikuwa na tatizo,doctor akanipa dawa za kusaidia ovulation,nilizimeza mwezi wa nane mpaka leo sijapata hedhi na nimepima mimba leo hamna kitu,alinipa dawa ziitwazo clomi plan,
Hiyo dawa inaitwa Clomifen, husaidia ovulation na maturation of eggs, if that one failed na hsg was normal meaning kuna serious issue about your hormonal levels.....kukusaidia fika kwa gynecologist yeyote aweze kukuchunguza na kupima level ya female hormones zako
asante kwa ushauri mzuri,je ishu ya kutopata hedhi mbona sielewi jamani,tatizo linaweza kuwa ni hilo la hormones ndo maana cjapata hedhi?
huwa unapata maumivu ya tumbo kila mwez kama ya hedhi? japokuwa hauon damu
asante sana kwa kunisaidia, baada ya kumeza izo dawa huwa nahc maumivu kwa mbali yaani kama kitu kinamove especialy upande wa kulia chini ya tumbo,
Ok....kama umefanya Hsg mda mrefu n vzur ukirudia bcoz.....kwa mtu ambaye amepata abortion na kusafishwa ukuta wa uzazi huweza kupona na kutengeneza kovu, ambalo laweza kuwa kubwa kuweza kuziba mlango wa uzazi kama imperforated hymen, na hivyo kuzuia damu isitoke wakati wa hedhi na kuzuia mbegu zirutubishe yai...."Asherman syndrome"
mkuu hsg nimefanya mwezi wa saba,na abortion nilipata miaka mitatu iliyopita, ndipo nashindwa kuelewa nazidi kuchanganyikiwa kabisaaa
Just go for more checkup dada....pole