Nyakanazi-Kigoma... Dereva sharti uwe hodari kwelikweli na uendeshe kwa style ya zigzag!
Na basi zinazotumia barabara ile sharti ziwe imara kwelikweli! Adventure & Saratoga hao ndo watabe wa njia mbovu. Akina Dar Lux, sijui Dar Express hawawezi kutoboa hata wiki.
Huko ni Congo au Malawi ?
Kwa mfano mtu utakwenda huko ki bara kufanya nini ?
Hata airtel sidhani kama wanakujua huko.
Anyway kama kunaishi watu basi nawapa pole