Kabla ya ndoa mambo
huwa hivi;-
MME;-Nilitamani sana
muda huo ufike.
MKE;-Vip wataka
niondoke?
MME;-Hapana hata kidogo.
MKE;-Unanipenda?
MME;-Ndiyo maana yake.
MKE;-Utaniletea demu
mwingine ndani?
MME;-Siwezi huo upuuzi.
MKE;-Utanibusu milele?
MME;-Kila mara.
MKE;-Je utanipiga?
MME;-Aaah haiwezi
tokea.
MKE;-Naweza kukuamini?
MME;-Ndiyo.
MKE;-Aaaaaah mpenzi?
Ukitaka kujua baada ya
ndoa ilikuwaje anza
kusoma hayo maongezi
kuanzia hapo chini
ukipandisha juuu;;;;;