HAKUNAGA ZAIDI YA Godbless Lema!

Naona nchi ya kusadikika niliokuwa nasimuliwa naweza kuiona laivu! God bless lema!
 
Hah hah haha hah..leo nimefikiria mengi sana hasa baada ya Lema kusema atafunga siku saba na kutoa sadaka kwa maskini,,sina uhakika ila nahisi ndo matokeo yake haya...........
nasubiria kuona kama azimio la Zitto litafikiwa sababu msumari ameupiga pabaya lakini mda muafaka...:deadhorse:
 
Huyu Lema atawafanya kitu mbaya magamba!
 

TOO EARLY FOR MILLYA Kulinganishwa na wanachadema wakongwe kama Lema. CALL A SPADE A SPADE,BIG UP Lema
 
Kosa ambalo ccm watalijutia ni kumwondoa lema,chopa inafanya kazi!heko lema,heko cdm!mapambano yanaendelea!
 
Hongera sana kamanda wangu lEMA...matunda ya kazi zako yanaonekana wazi..Sasa inabidi ukapige kambi jimbo la MPANDA linaloonozwa na Pinda,baada ya hapo pita Njombe kwa mama Makinda.
Am praying for you.

Mpanda hayupo Pinda, Pinda yuko jimbo la Mlele, Mpanda mjini tuna jembe linaitwa Said Amor Arf....CHADEMA....ngoja nimalize chuo nikaeneze sumu kwa pinda, hadi ataacha kabisa kukanyaga Katavi.....!
 
Hongera sana kamanda wangu lEMA...matunda ya kazi zako yanaonekana wazi..Sasa inabidi ukapige kambi jimbo la MPANDA linaloonozwa na Pinda,baada ya hapo pita Njombe kwa mama Makinda.
Am praying for you.

Mpanda hayupo Pinda, Pinda yuko jimbo la Mlele, Mpanda mjini tuna jembe linaitwa Said Amor Arf....CHADEMA....ngoja nimalize chuo nikaeneze sumu kwa pinda, hadi ataacha kabisa kukanyaga Katavi.....!
 
Jamani sio siri Godbless lema ni mwanasiasa ninayemkubali sana kwa ni mtu watu tena sio maigizo, hana makuu, mvumilivu na ni mtu aliyejishusha sana. Mungu ambariki huyu kamanda wetu kwani lulu ya sisi wanamageuzi na pengo lake halizibiki kabisa, CCM watajutia kitendo cha kumvua ubunge huyu kamanda kwani mabaya yote waomtendea lema yanawarudia wenyewe.
 
Waziri Mkuu atajuta kuingilia uhuru wa mahakama kwa kuutengua ubunge wa kamanda Lema.
Pinda siku zake za kuwa waziri mkuu zimeanza kuhesabika


Nakwambia huyu PM mwenye sura mithili ya mamba dume Mi nakwambia asipojiudhulu safari hii Mi natafuta uraia wa South Sudan

Haiwezekani watu wachache wamiliki Nchi ye2 ya Maziwa na Asali ingali Watanzania wote wapatao 42M wana haki Nchini

Hili haliwezekani! Lakini baraza lote la mawaziri ipigwe chini na hata ikiwezekana na hata rais ajiengue mapema!
 

msyemfahamu lema katika miaka miwili ya arusha kwa kawaida arusha ni jiji la mabadiliko kumbuka 1995 ya charles makongoro nyerere akiwa nccr mageuzi baada ya hapo kiuhalisia ccm haijawahi kushinda,lakini kwa miaka miwili ya uongozi wa lema ni tatizo kubwa cdm inakubalika asilimia moja
 
Binafsi naomba rufaa CDM washindwe ili Lema asiwe mbunge hapo A town, kwani ameshamaliza kazi pale. Akibaki huru kama mwanachama ataipaisha sana CDM, ukimsikiliza Lema ukashindwa kuokoka/kubadilika kifikra wewe una roho ya shetani. Si tunaona kazi kubwa aliyoifanya Dr. Slaa baada ya kubaki katibu wa chama, Lema aendelee kujenga chama, fikiria leo Lema atue Tandahimba itakuwaje?
 
Lema oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,keep it up mkuu
 

Huyu Millya hofu yangu isije ikawa ni VIRUS teh! Magamba wanambinu chafu bwana daah!
 
Hii imekaa vizuri, itafika wakati hata polisi na Jeshi watakuwa upande wa chadema hapo ndipo itakapokula kwao.

Mkuu mbona hii ilishaanza tangu uchaguzi 2010? Kwa masikio yangu na kwa kuongea hata na wanajeshi na polisi hawana kabisa matumaini na wamechoka. Recall pia uchaguzi wa Kawe na Ubungo, polisi walisema wazi hawako tayari kupiga waatu mabomu hawajakosa kitu wanalinda kura zao kwa amani? Tena pale Loyola walipokuwa wameweka kambi wana ubungo polisi walilala fofo kabisa na kufurahia ushindi. Subiri 2015 patachimbika. Leo nimekuwa mjini DSM katika pitapita zangu kila kijiwe cha taxi, shoeshiners, mishen town, you name all wanaongelea taifa hili na ubadhirifu and are tired? Imagine nimesikia wengine wakitaka uchanguzi wa urais urudiwe? Hao ndo wale tunaowaona si wasomi na hawajui, je wasomi je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…