Hakunaga kama Magufuli

mbona umeunga unga hizo picha weka moja moja
 
Mbona wakati wa kula za maoni magufuli mlikuwa mnamsema vibaya. Imekuwaje leo aonekana dharahabu? Au ni unafik.
 
Daaaah aiseee hii tsunami mpaka watu hawaenei mwenye kamela
 
Hata mbeya mjini katikati ya ngome wameisoma namba chezea magufuli chezea ccm
 
Mbona mnadanganya watot.. In Jagwani mliwekaa picha za Brazil... Leo mnapigaa picha na kuweka effect..
 
Je ww ni kijana na una malengo wahitaj kutimiza ila hujajua pa kuanzia?? Nafasi ni yako sasa. Tafadhali tembelea link hii http://parttimeduty.com/index.php?ref=41945 kisha ufate maelekezo. timiza malengo yako na PARTTIMEDUTY MARKETING GROUP. nafasi ni hii na fursa kutimiza malengo yako. Tembelea link tafadhali ni bure na kaz ni rahisi kwanjia ya kuchati tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…