F FAIRATTORNEY JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 219 Reaction score 61 Jun 24, 2014 #1 Leo serikali yetu sikivu imetoa tamko maridhawa kabisa, kwamba hakuna tatizo la ajira hapa nchini mikazi na mifursa kibao. Ni kwamba tatizo linakuzwa tu na wanasiasa kwa maslahi yao binafsi na vijana wote mnaotapatapa mitaani ni wambea tu.
Leo serikali yetu sikivu imetoa tamko maridhawa kabisa, kwamba hakuna tatizo la ajira hapa nchini mikazi na mifursa kibao. Ni kwamba tatizo linakuzwa tu na wanasiasa kwa maslahi yao binafsi na vijana wote mnaotapatapa mitaani ni wambea tu.
K Kimalapamba Member Joined Oct 19, 2013 Posts 12 Reaction score 3 Jun 24, 2014 #2 OOOOOOOOOOOOYYYYYYYYEEEEEEEEEEE, loh huyu mama kabaka sasa noma!!!!!