Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Hahaa!pesa ni pesa mkuu haijalishi kiwango[emoji2]Ankali uliombwa sh ngapi??usikute anakuomba elf 5 tu mzee unawaka
Wakati mwingine huwa wana shida kweli kama ipo msaidie tu!ukitoa sio kwamba utaonekana falaHahaa!pesa ni pesa mkuu haijalishi kiwango[emoji2]
Hahahaaa[emoji1] [emoji1]Unatuaibisha chief
Awaombe radhi kwakweli...Unatuaibisha chief
Kabisa babe...Awaombe radhi kwakweli...