Inawezekana kuna watu hawajajua bado kuwa hakuna hata klabu moja ya Sudan iliyowahi kupata ushindi kwa Simba. Kama nimekosea, aje mtu anisahihishe hapa. Hata mwaka ule El-Mereikh walipovunja pambano la CECAFA, walikuwa nyuma kwa mabao 2-1 hadi dakika ya 89, na wakawapiga sana wachezaji wa Simba. Bahati nzuri Simba na El-Mereikh zikapangwa kucheza raundi ya kwanza klabu bingwa Africa, ambapo Simba ilishinda 1-0 Dar na ikashinda tena 1-0 Khartoum. El-Mereikh hawatamsahau Nteze John hata siku moja Timu ya El Hilal (ambayo ilijenga urafiki na Simba baada ya kuona Simba inawafunga mara kwa mara El-Mereikh watani wao), nayo pia imeshapigwa mara kadhaa na Simba. Kwa hiyo hii Al Ahly Shandy itakuwa klabu ya kwanza kuifunga Simba kama itafanya hivyo mjini Shandy, Sudan, jambo ambalo si rahisi hivi hivi.
Humu kuna watu wamejaa porojo zisizokuwa hata na msingi, na ukimuuliza umri wake unaweza kushangaa hata miaka 30 hajafikisha ndio maana anaongea pumba kwa jambo asilolijuwa.unauhakika na unacho kinena?
Humu kuna watu wamejaa porojo zisizokuwa hata na msingi, na ukimuuliza umri wake unaweza kushangaa hata miaka 30 hajafikisha ndio maana anaongea pumba kwa jambo asilolijuwa.
............. na unacho kinena?
Mkuu yahoo, umeuliza swali tata hapo! Inawezekana hana?
we unalolijua ni lipi sasa kuhusiana na kilichoongelewa????Humu kuna watu wamejaa porojo zisizokuwa hata na msingi, na ukimuuliza umri wake unaweza kushangaa hata miaka 30 hajafikisha ndio maana anaongea pumba kwa jambo asilolijuwa.
Mtoa mada ametoa takwimu zake,wengine mnaleta maneno,tafuteni taarifa then mje
Humu kuna watu wamejaa porojo zisizokuwa hata na msingi, na ukimuuliza umri wake unaweza kushangaa hata miaka 30 hajafikisha ndio maana anaongea pumba kwa jambo asilolijuwa.
al-ahly shandy...
Dakika ya 66, 77 na 88.
Simba wakabadilishwa Pampers na kusubiri mikwaju ya penati.
Mtoa mada futa hii thread yako inatia aibu, coz watu walishaanza kusahau.