Kwangu mimi mapenzi yako hivi:
+demu anayevutia(sura na shepu nzuri)
+yuko chini ya miaka 26
+hanuki
+ana nywele ndefu
+anajua kupika
+anavaa vizuri
+ni mwembamba
+hana kitambi
+hafanyi kazi za ofisini
+anavaa viatu virefu
+hajazaa n.k..
...mwanamke anapotimiza vigezo vilivyoandikwa hapo juu, basi ujue ya kwamba ndio "amependa''.
Kwangu mimi mapenzi yako hivi:
+demu anayevutia(sura na shepu nzuri)
+yuko chini ya miaka 26
+hanuki
+ana nywele ndefu
+anajua kupika
+anavaa vizuri
+ni mwembamba
+hana kitambi
+hafanyi kazi za ofisini
+anavaa viatu virefu
+hajazaa n.k..
Kwa mtoto wa kike mapenzi kwake kwa mwanaume yako hivi:
+huboi
+una uwezo kifedha
+unavutia kwa wanawake wengine
+humjali
+una misuli
+una akili za maisha
+hucheki
+hulii siku za misiba
+unajua kucheza na hisia zake
+hukumbuki siku yake ya kuzaliwa
+unaogea naye pale unapotaka kumto..........a
Mwanaume au mwanamke anapotimiza vigezo vilivyoandikwa hapo juu, basi ujue ya kwamba ndio "amependa''.
Utumbo wa samaki ni wa kutupa tu bora ungekuwa wa kuku ningekaanga nkala mie.....
Utumbo wa samaki ni wa kutupa tu bora ungekuwa wa kuku ningekaanga nkala mie.....
kwani hao si wameshaenda depo? labda ni wa o level wanaovuta ka likizo...Hivyo ni vigezo vya mvuto aka attraction, siyo mapenzi.
Umemaliza Form Six mwaka huu?