Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,863
Hadi mahaba yafe si tutakuwa tumerejesha namba sista!!!Hata mahaba hayatadumu milele....
Ntawezaje kuishi bila hayo....
Mahaba ya Kasie na Dadii!Hata mahaba hayatadumu milele....
Ntawezaje kuishi bila hayo....
Hadi mahaba yafe si tutakuwa tumerejesha namba sista!!!
Hata mahaba hayatadumu milele....
Ntawezaje kuishi bila hayo....
Mahaba ya Kasie na Dady!
Mkuu namba lazima turudishe, hakuna namna...Mie sitaki kurudisha namba, mahaba matamu.... ntakaa nayo milele na dadii wangu milele...
Ngoja nikarekebishe chapu!Ni Dadii sio Dady.....
Mahaba ya Dadii na Kasie.
Mahaba matamu yasoisha hamu.
K' Matata.
Sijui tofauti ya mahaba na mapenzi lakini mapenzi yalikuwepo yapo na yataendelea kuwepo isipokuwa sasa hivi kama huna hela wanawake wazuri utakula kwa macho zamani walikuwa na mapenzi ya kweli saiv pesa mbele kama tai
Mkuu namba lazima turudishe, hakuna namna...
Mkuu xender huwa inatumikaje?