Niaje wakuu!!!
Leo nataka niongelee jambo hili la amani kwa muktadha huu.
Mara nyingi pia umewahi wasikia watu wakisema nimeridhika na umasikini wangu.....
Mimi huwa nikiwasikia huwa najisemea "sidhani kama wako serious "
Ukweli twende juu tushuke chini, penye umasikini hakuna utoshelevu wala amani.
Haishangazi kuona takwimu zinazofedheesha kama:
Nchi maskini watu wake wanaongoza kwa kutokua na furaha.
Au Idadi kubwa ya nchi masikini ndizo zinaongoza kwa migogoro ya kivita, ufisadi, magonjwa, njaa na hata athari kubwa zitokanazo na nguvu za athiri kama matetemeko na vimbunga.
Ukweli ni kuwa
Humasikin ni typical laana
Umasikini ni Ndg wa maovu yote na majanga yote unayoweza kuyataja.
Umasikini ni mama wa
Ujinga
Wivu
Roho mbaya
Afya duni
Husuda
Lishe duni
Malazi duni
Ndoa au mapenzi kusambalatika
Wizi
Hofu na mashaka due to Life uncertainity
Kifupi umasikini katu hauwezi leta amani bali daima ni chanzo cha maovu yote.
Karibuni kwa hoja wakuu.