Nime verify, yangu iko POA siyo fake.Andika *#06# kwenye simu yako. Zitakuja imei no number hizo zipo 15. Kama simu ni double line zitakuja imei mbili unaweza kuhakiki ya kwanza kisha ya pili. Zikopi no hizo kisha ingia ktk link hiyo uhakiki
IMEI Code Verification
Kumbuka kuanzia June simu fake hazitatumika
Simu yako ina imei ngap? Kuna ya pili inakubali. Kama imei moja na not genuine ujue ni fake ila usiwe na wasiwasi wataextend deadlineMkuu! Mbona ninapohakiki IMEI moja naletewa Is not Genuine?
Iko na IMEI mbili lakini zote zinaandika not genuine, nikajaribu pia na simu ingine Nokia but majibu ni yaleyale.Simu yako ina imei ngap? Kuna ya pili inakubali. Kama imei moja na not genuine ujue ni fake ila usiwe na wasiwasi wataextend deadline
Andika *#06# kwenye simu yako. Zitakuja imei no number hizo zipo 15. Kama simu ni double line zitakuja imei mbili unaweza kuhakiki ya kwanza kisha ya pili. Zikopi no hizo kisha ingia ktk link hiyo uhakiki
IMEI Code Verification
Kumbuka kuanzia June simu fake hazitatumika