Hakika wanaume mlibarikiwa,hongereni.


True, but for no: 4: You can achieve that, okay? I mean a Woman can achieve that usiwe inferior, na we love and respect you because of all that you are going through as a woman, God bless you for reminding us how special and important you people are!
 
No 1ilikuwa zamani kwa hizi chipsi na kuku wa miezi minne wamelegea kama nini na tena wamesababisha na zile kungu zetu zikapanda bei wanakula hatari , no 2kwa taarifa yako hakuna watu wanaumwa U.T.I siku hizi kama hawa jamaa bila kusahau tezi dume no nne unakumbuka yule mwanaume aliyebeba mimba marekani, vipi babaya yao wakina kim Kardashian?
Elton john chefuuuu usisahau samaki mmoja akioza .....
Kwa kifupi dunia kwa sasa inayumba yumba ni kumwomba Muumba atuepushe na haya ya sodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…