Hakika wanaume mlibarikiwa,hongereni.

Mziwandawamama

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
1,303
Reaction score
944
1.Mlipewa nguvu nyingi
2.Hamuugui magonjwa ya ajabu ajabu kama u.t.i ama kuchekacheka ama cervix&breast cancer
3.Hambebi ujauzito mlijaliwa kutengeneza tu huo ujauzito
4.Mnaheshimika popote mnaposimama na kuongea
5.Mnauwezo wa kukojoa kila mfanyapo tendo la ndoa hata kama umebakwa
6.Mlipewa uwezo wa kuvumilia na kuhimili mambo mazito na ya ajabu

KUMBUKA:Huu ni mtazamo wangu kama unakubaliana na mimi ongeza mengine niliyoyasahau na kama unapingana na mimi toa hoja kuntu nijifunze.

Nawapenda
 
Haya mkuu.
Hongera kwa kulitambua hilo
 
Tunashukuru kwa kulitambua ilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…