HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,448
- 6,211
Wanawake kumi na tatu tu kwa umri wa miaka 29 na bado huna hakika kama huna ukimwi? Masihara haya.Wakuu leo nilimpeleka mwanangu kutibiwa mafua kwenye dhahanati moja hapa mjini sasa ile kufika tu nikaambiwa kabla ya huduma nielekee kwenye dawati moja limejitenga kufika naambiwa hapa tunatoa ushauri ili upime kuendeleza kauli mbiu ya waziri mkuu nikapewa namba nikaambiwa jiandae upime ukikutwa nao tunakuanzishia dawa wakanicheki pale sasa kabla ya majibu ule ushauri alio anza kunipa ndio ulio nitisha maana alikuwa ananieleza utazani amenikuta nao nikajifikiria Mimi kijana miaka 29 hii nikutwe na ngoma ntakuwa mwenyeji wa nani basi nikapimwa huwezi amini nikakutwa sina baada ya hapo wakanipeleka hadi kwa daktari wakamtibu mwanangu huku wengine tukiwaacha kwenye foleni yani sijaamini kama nimetoka salama maana nikikumbuka tangu nimeanza kunjunjana nimekula wanawake 13 ila nmepona
HahahahaSipimi ng'oo. Walikua wanatufata hostel wanapima wakimaliza kila MTU anaachiwa condom 12. baadae kinachofuata sio kudufuana, wengine walitumia kupigia chaputa.
Sikuwahi kupima hata siku moja
kwani wewe ni mwanaume?Miaka 29 umetembea na wanawake 13 tu? Acha kutuchalilisha wanaume
Duuuh miaka 29 umekula mademu 13 wee kweli zoba halafu Dhahanati ndo nini mkuu?Wakuu leo nilimpeleka mwanangu kutibiwa mafua kwenye dhahanati moja hapa mjini sasa ile kufika tu nikaambiwa kabla ya huduma nielekee kwenye dawati moja limejitenga kufika naambiwa hapa tunatoa ushauri ili upime kuendeleza kauli mbiu ya waziri mkuu nikapewa namba nikaambiwa jiandae upime ukikutwa nao tunakuanzishia dawa wakanicheki pale sasa kabla ya majibu ule ushauri alio anza kunipa ndio ulio nitisha maana alikuwa ananieleza utazani amenikuta nao nikajifikiria Mimi kijana miaka 29 hii nikutwe na ngoma ntakuwa mwenyeji wa nani basi nikapimwa huwezi amini nikakutwa sina baada ya hapo wakanipeleka hadi kwa daktari wakamtibu mwanangu huku wengine tukiwaacha kwenye foleni yani sijaamini kama nimetoka salama maana nikikumbuka tangu nimeanza kunjunjana nimekula wanawake 13 ila nmepona