Ukitaka awe nani.Pamoja na kazi kubwa anayoifanya lkn nahisi kiti alichokalia si sahihi... Nadhani kuna position ambayo angewekwa ingefiti kufanya anachofanya.. He is doing great but I don't think if he deserves to be a spokesman
Japo mm ni Shabiki wa Wananchi Kindakindaki ila ukweli na usemwe anafanya vizuri sana ktk Promo,anagusa hisia za mashabiki wa timu yake,mashabiki wanamsikiliza na kutii anachokisema,anaipaisha brand ya Mikia kwa kasi,anajiamini na kuiamini timu yake kupita kiasi..nk nk japo kuna sehem huwa anafeli lakini positive ni nyingi zaidi kuliko negative..Hongera Vuvuzela la Mikia
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
Huyu ni msemaji wa Klabu kongwe Tanzania,iliyozaliwa kutoka Kwa Watani zao wa Jadi..kiukweli mimi sijui elimu yake nasema ninachokiona na kuishi
Nina mambo mawili au Matatu kumhusu Manara
*Wasomi wanaona wivu kwa kipaji chake
*Afisa Masoko aliyeshinda wasomi wengi
Kuinadi simba hapa wenye utaalam mtajazia
*Maarifa yake kama katoka Havard University sina unazi ni mtazamo tu unaruhusiwa kunipinga.
Ana lugha za matusi, ana chuki, tapeli na pia ni mwongo sana UPO hapo wewe jamaa yakeHuyu ni msemaji wa Klabu kongwe Tanzania,iliyozaliwa kutoka Kwa Watani zao wa Jadi..kiukweli mimi sijui elimu yake nasema ninachokiona na kuishi
Nina mambo mawili au Matatu kumhusu Manara
*Wasomi wanaona wivu kwa kipaji chake
*Afisa Masoko aliyeshinda wasomi wengi
Kuinadi simba hapa wenye utaalam mtajazia
*Maarifa yake kama katoka Havard University sina unazi ni mtazamo tu unaruhusiwa kunipinga.
Mimi sitaki kumsema vibaya ila anaichukia sana timu ya Yanga. Alitakiwa mtu asiegemea upande wotewote. Hataki kuona mafanikio katika timu ya Yanga.
Kweli ila ina ukakasi kuwachanya kabisa
Mzee wa gairo..mmeshaanza kuchimba viazi?Ukakasi uko wapi hapo Sheikh??
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro