Ndugu Haji Manara naomba usidanganye umma kwa kutafuta huruma ya kuteuliwa kuwa Meya wa Ilala kwa kutumia uzandiki na uongo:
Kwa historia sahihi: Enzi ya Nyerere hakuna mtoto wake alitajwa kuwa fisadi au kutumia madaraka vibaya, wala yeye kamwe.
2. Ali Hassan Mwinyi hakutajwa sana kwa ufisadi wala watoto wake ila MKE WAKE MAMA SITI MWINYI ALITAJWA SANA.
Kuna wakati mpaka Mrema alikamata dhahabu iliyosadidikika kuwa ilikuwa ya mke wa kigogo mzito sana yaani mke wa rais , Swali la kujiuliza kwa nini ana wake wawili lakini alitajwa mmoja tu ? tayari ni dalili kuwa kuna ukweli flani,
3. Mkapa alitajwa yeye na mke wake na ushahidi ulitolewa mno jinsi alivyonunua mgodi wa Kiwira na kuuza mashirika kwa marafiki zake na kugawa migodi kwa wageni akiwa na maslahi binafsi, hasahasa alivyotoa AFGEM Kwa kampuni ya South Africa na yeye kuzawadiwa Hoteli , LAKINI WATOTO WAKE HAWAKUTAJWA , NI YEYE NA MKE WAKE
4. Kikwete hakutajwa sana kwa ufisadi ila Ridhiwani mwanaye alitajwa kuhusishwa kuwa karibu na waarabu wa mafuta na wahindi inawezekana chumvi na siasa za makundi ziliongezea kumchafua lakini kuna ukweli flani humo kwa sababu watoto wengine wa kikwete hawatajwi kabisaa , wala mama Salma hana kashfa za wizi au matumizi mabaya ya madaraka, Kikwete atasemwa zaidi kwa udhauifu wa kutowasimamia watu wa chini yake labda na uhusiano wake na GSM inawezekana ana share humo kiasi fulani.
5. Magufuli nilimpenda sana kuliko Marais wote toka tupate uhuru kwa uwezo wake wa uthubutu na kusimamia maamuzi magumu kama JNHP, SGR, ATCL na ya kulinda rasilimali za nchi hasa hasa kwenye madini. Hakutajwa sana kwenye ufisadi japo akiwa waziri alimuuzia mdogo wake nyumba akiwa mwananfunzi na pia alikuwa na ukabila sana hili sikuwa nalipenda , ila mke wake wala watoto wake hawakutajwa kabisa, Hata kumuweka Doto James kuwa paymaster mkuu nadhani kuna sababu ya msingi ili maamuzi yake wakati wa utekelezaji yasipingwe kirahisi, KWA HIYO SIO KILA MTOTO WA RAIS ALISEMWA.
6. KWA SAMIA anayetajwa tajwa ni Abduli tu Wanu hatajwi kutumia madaraka ya mama yake kwa hiyo kwa ushauri ni Rais mwenyewe amshauri mwanaye ajirekebishe, afanye biashara atakavyo kihalali na kwa ukubwa wanaoutaka ila asiingilie taasisi na utawala wa serikali kwa kutumia nafasi ya mam yake, Kuwa tajiri kihalali ni sawa kabisa tena ni sifa nzuri kabisa kwa sababu ya nafasi yake angetusaidia kufungua fursa nje ya nchi kwa kutumia connection ya mama yake mfano kutafuta masoko ya madini adimu na mikataba mikubwa mikubwa ya madini ambayo hatujaanza kuyachimba au angechangamkia fursa ya kufungua kiwanda cha kuchakata gesi ya mtwara iwe LNG, bonge ya mradi na endelevu.
KWA HIYO HAJI NI WATOTO WAWILI TU NDO WAMEKUWA NA TUHUMA,
Nakuongezea kwa mawaziri wakuu:
1. WARIOBA HAKUWA NA TUHUMA
2. MALECHELA ALITUHUMIWA SANA kupokea rushwa za Toyota japan na hela za OIC
3. David Cleopa Msuya alituhumiwa kupendelea kwao tu lakini hakuwa na tuhuma nyingine nyingi
4. Sumaye alituhumiwa sana kwa kunyakua mashamba
5. Lowassa alituhumiwa kwa ufisadi toka akiwa waziri hata kabla hajawa waziri mkuu
6. Pinda hajatuhumiwa kabisa zaidi ya kuwa mpole mno
7. Majaliwa hajatuhumiwa kabisa
Kwa hiyo njoo na facts usiwe chawa kaka