Wewe ndo unaona halina kazi sisi wengine kazi zake tunazijua tatizo unakurupuka kuandika nkikwambia ntajie kazi 3 tu za Basata na uhakika hautatajaWakuu naomba kuuliza kama inawezekana kuvunja hili linaloitwa baraza la sanaa la taifa maana toka nimelijua sijawahi kuona juhudi zozote walizofanya juu ya sanaa nchini zaidi ya kuididimiza. Ninachoamini kazi ya regulator huwa sio kudidimiza bali kuboresha.Sasa sijawahi kuona juhudi zozote za kuboresha sanaa nchini,sii filamu,ndondi,mziki wala ngoma.
Natoa ushauri kwa mamlaka husika zilivunje hili baraza na badala yake waunde kitu chenye tija na sio kujaza watu wenye upeo mdogo juu ya sanaa hasa ya kizazi hiki.
Wewe uliyesema unajua tuambie hapa nini basata imefanya kuinua sanaa hata moja hapa nchini. Sio unaleta ushabiki tu,soma uzi uuelewe.Wewe ndo unaona halina kazi sisi wengine kazi zake tunazijua tatizo unakurupuka kuandika nkikwambia ntajie kazi 3 tu za Basata na uhakika hautataja
Wewe uliyesema unajua tuambie hapa nini basata imefanya kuinua sanaa hata moja hapa nchini. Sio unaleta ushabiki tu,soma uzi uuelewe.
Na kwa nini uandike leo na sio siku zote kuhusu kuvunjwa kwa Basata ?kisa WCB?we unaona nyimbo ya WCB ipo sawa?sisi wazazi tunapongeza hyo nyimbo kufutwa na wapigwe faini bila hvyo kuna siku wataimba Ushoga na utasapot kisa wewe ni kizazi cha WCB kwa hili Basata nawapongezaWakuu naomba kuuliza kama inawezekana kuvunja hili linaloitwa baraza la sanaa la taifa maana toka nimelijua sijawahi kuona juhudi zozote walizofanya juu ya sanaa nchini zaidi ya kuididimiza. Ninachoamini kazi ya regulator huwa sio kudidimiza bali kuboresha.Sasa sijawahi kuona juhudi zozote za kuboresha sanaa nchini,sii filamu,ndondi,mziki wala ngoma.
Natoa ushauri kwa mamlaka husika zilivunje hili baraza na badala yake waunde kitu chenye tija na sio kujaza watu wenye upeo mdogo juu ya sanaa hasa ya kizazi hiki.
Huna hoja,unaniita mtoto wa juzi halafu wewe mtu mzima unashindwa kuweka hoja ya nini basata wamefany kupromote sanaa. Ni sawa na useme BOT ambaye ni regulator wa taasisi ya kifedha awe na kazi ya kufungia tu hizo taasisi bila kufanya lolote kuzipromoteSasa unaniuliza mimi?tatizo mnakurupuka hausomi hata kazi za Taasisi za serikali wewe unahisi kwa nini Basata hadi sasa bado ipo na inafanya kazi na inatambulika kisheria?nyie watoto wa Juzi hii ndo shda yenu kubwa kukurupuka
Hili la WCB ni maoni yako yanayoendana na hisia za matukio.Na kwa nini uandike leo na sio siku zote kuhusu kuvunjwa kwa Basata ?kisa WCB?we unaona nyimbo ya WCB ipo sawa?sisi wazazi tunapongeza hyo nyimbo kufutwa na wapigwe faini bila hvyo kuna siku wataimba Ushoga na utasapot kisa wewe ni kizazi cha WCB kwa hili Basata nawapongeza
Team Mawingu kwenye ubora wenuLitavunjwa baada ya WASAFI na matusi yao kufyekelewa mbali.
NYEGE NI KUNYEGEZANANa kwa nini uandike leo na sio siku zote kuhusu kuvunjwa kwa Basata ?kisa WCB?we unaona nyimbo ya WCB ipo sawa?sisi wazazi tunapongeza hyo nyimbo kufutwa na wapigwe faini bila hvyo kuna siku wataimba Ushoga na utasapot kisa wewe ni kizazi cha WCB kwa hili Basata nawapongeza
Sibishani na wanuka MaziwaNYEGE NI KUNYEGEZANA
NYEGEZA NIKUNYEGEZE.
Mwandishi Amiri A. S. Andanenga (Sauti ya Kiza)
Peni yangu Andanenga, uwino unapotona
Mantiki huzilenga, na balagha na bayana
Hufaidika malenga, huvurugika akina,
Nyege ni kunyegezana, msemo wa Kiswahili.
Msemo wa Kiswahili, nyege ni kunyegezana,
Maana yaki kamili, “wema ni kutendeana’,
Wasiojua fasili, hunamba nimetukana,
Nyege ni kunyegezana, msemo wa Kiswahili.
Ni msemo maarufu, ambao shaka hauna,
Kwenye kamusi sanifu, funueni mtaona,
Niwezeje kukashifu, nami mwana muungwana!
Nyege ni kunyegezana, msemo wa Kiswahili.
Ninataja ukurasa, wazi hapa naunena,
Soma mbili moja tisa, soma bila ya fitina,
Msemo siyo wa sasa, si juzi licha wa jana,
Nyege ni kunyegezana, msemo wa Kiswahili.
Sawa mchunga ng'ombe ila pyeee!!Sibishani na wanuka Maziwa