Haiti joins African Union

Argentina wamewaua kwa sumu raia wote waliokuwa weusi, wachache waliobaki ni laana kujiita mwafrika, Google blacks of argentina au youtube uone na video
 

Orodha kubwa ya nchi ulizopachik hapa haiondoi uhalali wa mkushi kuwa ni mtu wa bara la africa.

Back to history kabla hata ya kutawaliwa,hata south afrika tumeona jinsi wakushi walivyofurushwa na wazungu kule cape na kutapakaa kaskazini, swala dogo tu la kufanya,ukiona ngozi nyeupe africa jua haina uasili wa bara hili.wala haiitaji kukesha kutambua hili.
 

Halafu kichekesho ni pale ukienda hizo nchi ulizozitaja maskini ni wengi sana na njaa tupu
 

Historia ya marasta naijua sana..kitu kimoja lazima ujue sio wajamaica wote ni marastafarian , ni wachache kwa population yao ila wengi kuliko nchi zingine zote zenye marasta..huyo kiongozi wa marasta alikua ni mfalme Haile Selasie- simba wa yuda..na ndie aliwapa ardhi marasta wanaoishi ethiopia....lakini hilo la wajamaica kuukataa u weusi lipo sana ni fact..
 

usinikumbushe wahaiti wa majimbo ya pale marekeni kusini. nilikuwa na mmoja sehemu hakuwa na tofauti yoyote na mhaya wa muleba. mitako hiiiiyo. tukiwa kwenye ile gari yangu ulikuwa huwezi kujua nani katoka tz nani katoka haiti. ila mnapowasema vibaya hawa watu mnakosea sana. wazungu wana njia nyingi kukusababishia tatizo baadaye wewe uonekane mjiiiiiinga kumbe ni mjinga by design. bara la africa tumetangazwa wajinga sana wakati violin tumegundua sisi bila msaada wa mzungu, silaha za mashino ya michongoma ya miti chini tumegundua wenyewe. dawa asili hatukuelekezwa na mzungu na watu walipona. leo utaitwa black idiot. haiti ipo vile ilivyo by design.
 
Msiende mvali sana mpaka Haiti hapo hapo africa mashariki Wasomali na wale wajinga wengine Elitrea wanadai wao si waafrica
 





sasa sikiliza dogo. kwa kuwa inaelekea unajua sana kutumia wikipedia, em sasa tizama hoja yako ya mwanzo ambayo nimekuwekea hapo juu, kisha nenda kwenye wikipedia. gonga maneno haya mawili kwwenye google ama hata hiyo wikipedia: Fallacies of logos. Soma hapo labda utatambua umekosea wapi.

nadhani utagundua kwamba tangia mimi nimekupa mfano wa wajamaica ambao wanaipenda na kuienzi afrika. Wewe bado umeendelea kuwaaminisha wanajamvi kwamba wajamaica hawaipendi afrika. Wewe ni mwongo. umefanya kosa katika ujenzi wa hoja linatiwa fallacy of logos. Hili ni kosa kama la kumuona mtu mmoja katika kundi la watu 10 ni chongo, nawe utoke hapo uende kijiweni na kuwaambia watu umekutana na watu chongo 10. Huo ndio uongo unaoletwa kwa kulazimisha uongo uwe ukweli kutokana na kitu kidogo kilicho cha kweli katika hoja.

Sema hivi: kuna baadhi ya wajamaica hawaipendi afrika. hiyo itakuwa sawa. Lakini hiyo ni ileile migawanyiko inapatikana duniani kote. Leo hii kuna wanyakyusa wanaodai hawawapendi wasafwa. lakini ukipinda kona mbili tatu pale Uyole utamkuta msafwa na mnyakyusa wamejifungia chumbani wanalia kwa mahaba. haya, wapi na wapi? Kwa hiyo unaposema "Hao Wa Jamaica wenyewe na uweusi wao bado wanajiona sio waafrika na hawataki kusikia umewaita hivyo..they simply doesn't like africans!!" huku ni kusema uongo. Wajamaika wote hawaipendi Afrika? Mimi ninekuonesha kundi ambalo linaipenda Afraka, na kwa bahati umekiri kujua kundi hilo lipo. Kwa hiyo si wajamaica wote wanaichukia afrika.

NOW: Ukishamaliza kuangalia fallacies of logos kwenye wikipidia rudi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…