Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,419
- 33,982
Ni kweli, jambo dogo kama hilo linaweza kukuzwa na kusababisha sintofahamu ambayo si ya msingi kabisa, tena likipata Watu wa kuupamba huo mvutano.Vitu vingine vidogo sana ila tatizo ni kamati za maendeleo za kata, yani diwani, Afisa mtendaji kata na wenyeviti wa mitaa ya kata husika, tatizo liko hapo na si vinginevyo.
Bila...Huyu Said Kastico ni muislamu?
Na alinyimwa mtaa kwa sababu ya dini yake?
Plato...Ni kweli, jambo dogo kama hilo linaweza kukuzwa na kusababisha sintofahamu ambayo si ya msingi kabisa, tena likipata Watu wa kuupamba huo mvutano.
Bado nafasi ipo Kwa viongozi kulifanyia kaziPlato...
Kuna watu ndani ya serikali wanadhani wao wana haki kuliko wenzao.
Linapokuja jambo ambalo litaakisi mathalan wenzao wao wao hawawezi ustahamili lazima wataifanyia hujuma.
Hakuna mtu katikasisi tunaoijua historia ya Julius Nyerere ambae hajui uhusiano uliokuwapo baina ya Mshume Kiyate na Julius Nyerere.
Mzee Mshume alikuwa moja ya nguzo aliyoegemea Mwalimu Nyerere.
Katika miaka ya 1990s Mzee Mshume alipewa mtaa.
Hadi hii leo kibao hakijawekwa sasa zaidi ya miaka 30.
Huyo hapo chini Mshume Kiyate na Mwalimu Nyerere picha hii ilipigwa mwaka wa 1964 baada ya maasi ya Tanganyika Rifles.
View attachment 2319218
Ama...Bado nafasi ipo Kwa viongozi kulifanyia kazi
Aisee!! Unafikiri Mzee kanyimwa jina la mtaa kwa sababu gani mahsusi?Plato...
Kuna watu ndani ya serikali wanadhani wao wana haki kuliko wenzao.
Linapokuja jambo ambalo litaakisi mathalan wenzao wao hawawezi kustahamili lazima watafanyia hujuma.
Hakuna mtu katika sisi tunaoijua historia ya Julius Nyerere ambae hajui uhusiano uliokuwapo baina ya Mshume Kiyate na Julius Nyerere.
Mzee Mshume alikuwa moja ya nguzo aliyoegemea Mwalimu Nyerere.
Katika miaka ya 1990s Mzee Mshume alipewa mtaa kwa mchango wake wa kupogania uhuru wa Tanganyika.
Hadi hii leo kibao hakijawekwa sasa zaidi ya miaka 30.
Huyo hapo chini Mshume Kiyate na Mwalimu Nyerere picha hii ilipigwa mwaka wa 1964 baada ya maasi ya Tanganyika Rifles.
View attachment 2319218
Plato...Aisee!! Unafikiri Mzee kanyimwa jina la mtaa kwa sababu gani mPlatousi?
Kwa sababu kuna Mzee maarufu sana mtaa mmoja Dodoma lakini mtaa amepewa Aboud Jumbe.
Hiyo fedha waliyotoa Ni ya Nini ?HAIKUWA RAHISI SAID KASTICO KUPEWA MTAA...KAMA KAWAIDA
Mtendaji wa Mwenge hakuwa kafurahia sana Mzee Said Kastico kuadhimishwa.
Ugomvi ukatokea hadi ukafika kwa Msaidizi wa Mkuu wa Wilaya.
Ukoo wa Mzee Kastico wala hawakuomba mzee wao apewe mtaa bali wananchi wenyewe katika mkutano walipendekeza Mzee Said Kastico apewe mtaa na wakachagua mtaa unaopita nyumbani kwake.
Wanae wakaombwa wachangie shilingi 320,000.00 na wakatoa fedha hizo.
Kilichofuatia baada ya kulipa hizo fedha ni Mtendaji kukaa kimya kwa wiki tatu na alipofuatwa kuulizwa kulikoni akajibu kuwa fedha zimekawia kulipwa na mtaa huo wa Said Kastico akapewa mtu mwigine jina lake Chilumba.
Baada ya kidonda ukafuatia msumari wa moto Mtendaji akasema kuwaambia watoto wa Said Kastico kuwa wanaweza kwenda kokote.
Msaidizi wa Mkuu wa Wilaya akaomba ushahidi kuwa watoto wa Said Kastico hawakutoa ushirikiano wa kutosha kwa baba yao kuadhimishwa.
Ikaamuliwa Mzee Said Kastico apewe mtaa mwingine si ule wa kwanza pale mtaani kwake alipoishi.
Ikawa kheri nusu shari kuliko shari kamili.
Said Kastico rafiki ya baba yangu akapata mtaa.
View attachment 2318640
mbazitz,Hiyo fedha waliyotoa Ni ya Nini ?
Samahani maalim, huyu marehemu kastico ana undungu na Maudline kastico wa CCM?HAIKUWA RAHISI SAID KASTICO KUPEWA MTAA...KAMA KAWAIDA
Mtendaji wa Mwenge hakuwa kafurahia sana Mzee Said Kastico kuadhimishwa.
Ugomvi ukatokea hadi ukafika kwa Msaidizi wa Mkuu wa Wilaya.
Ukoo wa Mzee Kastico wala hawakuomba mzee wao apewe mtaa bali wananchi wenyewe katika mkutano walipendekeza Mzee Said Kastico apewe mtaa na wakachagua mtaa unaopita nyumbani kwake.
Wanae wakaombwa wachangie shilingi 320,000.00 na wakatoa fedha hizo.
Kilichofuatia baada ya kulipa hizo fedha ni Mtendaji kukaa kimya kwa wiki tatu na alipofuatwa kuulizwa kulikoni akajibu kuwa fedha zimekawia kulipwa na mtaa huo wa Said Kastico akapewa mtu mwigine jina lake Chilumba.
Baada ya kidonda ukafuatia msumari wa moto Mtendaji akasema kuwaambia watoto wa Said Kastico kuwa wanaweza kwenda kokote.
Msaidizi wa Mkuu wa Wilaya akaomba ushahidi kuwa watoto wa Said Kastico hawakutoa ushirikiano wa kutosha kwa baba yao kuadhimishwa.
Ikaamuliwa Mzee Said Kastico apewe mtaa mwingine si ule wa kwanza pale mtaani kwake alipoishi.
Ikawa kheri nusu shari kuliko shari kamili.
Said Kastico rafiki ya baba yangu akapata mtaa.
View attachment 2318640
bi mkubwa wangu alipewa mtaa dah lilizuka zengwe hadi mkutano wakaitisha.familia waliokuwepo wakasusa kwenda ktk mkutano.jina likaondolewaVitu vingine vidogo sana ila tatizo ni kamati za maendeleo za kata, yani diwani, Afisa mtendaji kata na wenyeviti wa mitaa ya kata husika, tatizo liko hapo na si vinginevyo.
mkuu mie niliona mvutano wa bi mkubwa kupewa mtaa.lilizuka zengwe mtaani utadhani kodi wataanza kumpa bi mkubwa.Ni kweli, jambo dogo kama hilo linaweza kukuzwa na kusababisha sintofahamu ambayo si ya msingi kabisa, tena likipata Watu wa kuupamba huo mvutano.
Lusungo,Samahani maalim, huyu marehemu kastico ana undungu na Maudline kastico wa CCM?
Kwa maelezo yako itakuwa ni suala la kimtaa tu. Anachojaribu kukieleza hapa Mzee MS ni kama aliyemtaja kanyimwa kwa sababu ya dini yake! Kama kila mtu akifungua uzi kuhusu flani kunyimwa jina la mtaa utaona itakuwa malalamiko mengi sanamkuu mie niliona mvutano wa bi mkubwa kupewa mtaa.lilizuka zengwe mtaani utadhani kodi wataanza kumpa bi mkubwa.
Haya ngoja tuse ndio ufurahi, maana hakuna mantiki yeyote apo unachoongeleaHuyu Said Kastico ni muislamu?
Na alinyimwa mtaa kwa sababu ya dini yake?