hahahaha

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,573
Reaction score
3,255
AMAA alienda KUPOSA kwa SHEHE"

SHEHE.Yani Umekuja kuposa huku una tafuna big G!

Jamaa.Natoa harufu ya sigara 2.

SHEE.Unavuta sigara?

Jamaa. Huwaga baada ya kulewa.

SHEE. Kumbe unalewa?

Jamaa. Nilianza nikiwa jela.

SHEE. Yaani pia ulisha fungwaga.

Jamaa. Niliuwaga mtu.

SHEE. Kumbe we muuaji.

Jamaa: Kuna Mzee nlitaka kumposa mwanae alikataa nikamulia mbali.

SHEE.Karibu Baba Unataka harusi lini Mimi sina tabu mkeo huyu na mahari ukipata utaleta.
 
kwiii kw...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…