Hadithi ya kichina inaliza na huzuni

Wabongo mmetisha sana daah nimecheka sana hata hadithi mnachakachua.

Ukutakiwa kucheka ndug yangu, watu wanauliwa we unafurahi?xaxa ungekuwa wewe mzee Huawei umechukuliwa mtoto na mke na bwana Chang Lee ungeweza kucheka kwel?
 
Heee Janan Hapo Go Mi Nam Anasakitisha Anavyo Nyanyaswa Jamaniii Huyo Hwngmn
 
mbona hujamalizia! huyu mzee li xing si alienda kumpa.....?

Alimpa eu soo options mbili achague kumwokoa either heaven doctor or king at the same time..na mfalme asipookolewa atapinduliwa hivo yuni itakua chini georgyo wakati heaven doctor nae kule sumu inaendelea kufanya kazi
 
daah! kwel apa dunian kuna watu wanaroho mbaya sana lakin huyo bwana Xiang Woo Amezid Sana hakutakiwa kumfanyia hivo mzee Park Hwang!

Huyo alijifanyaga mjanja na alikua anataka cheo cha ujenero kwa nguvu na kwakua alikua ana semi kwenye top management hakujua xiang woo ni msomi na anatumia zaidi akili kufikiri kabla ya kutenda ..wee kamkomeshajeee
 
Tatizo mzee Xiang woo alimchapa kofi la kushoto mzee park Hwang lakini nayeye alipomtandika kofi mzee Xiang yamekuwa makubwa na polisi wameitwa.
 
执獧扻捡杫潲湵潣潬㩲昣昸昸㬸慢 yani ndiyo kanifanya niuzunike zaid loh kweli mbaya sana
 
Tung chon aliposema wakizidi kumuandama atakuja Tanzania kuunganisha mabomba ya gesi japo mshahara ni mdogo lakini atapiga dili za pembe za ndovu!

hahahaaaaa we umetisha duh Jf rahaaa...
 
Huyo alijifanyaga mjanja na alikua anataka cheo cha ujenero kwa nguvu na kwakua alikua ana semi kwenye top management hakujua xiang woo ni msomi na anatumia zaidi akili kufikiri kabla ya kutenda ..wee kamkomeshajeee

nyie watu mnasimulia muvi nini....mmmh acha nicheke mie...
 
执獧扻捡杫潲湵潣潬㩲昣昸昸㬸慢 yani ndiyo kanifanya niuzunike zaid loh kweli mbaya sana

Mamdogo nifafanulie na mie nielewe...
 
Mamdogo nifafanulie na mie nielewe...

Baba wa kichana alimtaka mpenzi amabaye ni rafiki wa mwanae . Mtoto wake akakataa kutoa namba akampiga kibao cha uso yani imeniuma sana rafiki yako awe mama yako duh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…