Leo akiwa Chato kwenye kampeni za mgombea urais kupitia CCM,amepanda jukwani kuwarubuni mashabiki wake kwa tungo za kuipamba CCM.
Kwanza niseme kuwa,huyu bwana nilikuwa ninamheshimu sana kutokana na tungo zake mahiri na hata za kuponda serikali,rejea Propaganda.
Pili,wasanii wengi wanaojikita katika misingi ya hip hop ni wanaharakati wanaotaka mabadiliko hivyo ni wafuasi wa UKAWA ambalo ni tumaini pekee la Watanzania.
Hivyo kwa hadhi/level yake kiukweli ameshusha hadhi kwani amesalimu amri kwa kuwa kuna mil 50.
Taratibu naanza kutafakari upya juu ushabiki wangu juu yako maana kila kwenye mpambano na Joh Makini daima nilikuweka namba 1 lakini you are no more valuable.
Unataka alale njaa? ingekuwaje kama angewaimbia UKAWA? Mwache ale pesa bhanaLeo akiwa Chato kwenye kampeni za mgombea urais kupitia CCM,amepanda jukwani kuwarubuni mashabiki wake kwa tungo za kuipamba CCM.
Kwanza niseme kuwa,huyu bwana nilikuwa ninamheshimu sana kutokana na tungo zake mahiri na hata za kuponda serikali,rejea Propaganda.
Pili,wasanii wengi wanaojikita katika misingi ya hip hop ni wanaharakati wanaotaka mabadiliko hivyo ni wafuasi wa UKAWA ambalo ni tumaini pekee la Watanzania.
Hivyo kwa hadhi/level yake kiukweli ameshusha hadhi kwani amesalimu amri kwa kuwa kuna mil 50.
Taratibu naanza kutafakari upya juu ushabiki wangu juu yako maana kila kwenye mpambano na Joh Makini daima nilikuweka namba 1 lakini you are no more valuable.
Leo akiwa Chato kwenye kampeni za mgombea urais kupitia CCM,amepanda jukwani kuwarubuni mashabiki wake kwa tungo za kuipamba CCM.
Kwanza niseme kuwa,huyu bwana nilikuwa ninamheshimu sana kutokana na tungo zake mahiri na hata za kuponda serikali,rejea Propaganda.
Pili,wasanii wengi wanaojikita katika misingi ya hip hop ni wanaharakati wanaotaka mabadiliko hivyo ni wafuasi wa UKAWA ambalo ni tumaini pekee la Watanzania.
Hivyo kwa hadhi/level yake kiukweli ameshusha hadhi kwani amesalimu amri kwa kuwa kuna mil 50.
Taratibu naanza kutafakari upya juu ushabiki wangu juu yako maana kila kwenye mpambano na Joh Makini daima nilikuweka namba 1 lakini you are no more valuable.
Yaani kuna watu sijui wivu ama sijui niseme nini kwani ajabu ni nini fid Q kuinadi ccm mbona Neema na wengineo wanainadi chadema siasa za chuki mbaya sana
Ungeijua tofauti ya CCM na UKAWA,
Tofauti ya nchi masikini na tajiri.
Mfanano wa siasa mbovu na maendeleo duni.
usingesema hayo maana inakulazimu uwe mwanamageuzi.
100 mkuu,huyu jamaa kimuonekano ni hiphop ila ndani ni mlaini sana. Ana kaunafki flani hivi.... sio kwasababu amefanya show kwa ccm
Leo akiwa Chato kwenye kampeni za mgombea urais kupitia CCM,amepanda jukwani kuwarubuni mashabiki wake kwa tungo za kuipamba CCM.
Kwanza niseme kuwa,huyu bwana nilikuwa ninamheshimu sana kutokana na tungo zake mahiri na hata za kuponda serikali,rejea Propaganda.
Pili,wasanii wengi wanaojikita katika misingi ya hip hop ni wanaharakati wanaotaka mabadiliko hivyo ni wafuasi wa UKAWA ambalo ni tumaini pekee la Watanzania.
Hivyo kwa hadhi/level yake kiukweli ameshusha hadhi kwani amesalimu amri kwa kuwa kuna mil 50.
Taratibu naanza kutafakari upya juu ushabiki wangu juu yako maana kila kwenye mpambano na Joh Makini daima nilikuweka namba 1 lakini you are no more valuable.
huyu jamaa kimuonekano ni hiphop ila ndani ni mlaini sana. Ana kaunafki flani hivi.... sio kwasababu amefanya show kwa ccm
Demokrasia inaruhusu mtu kufuata mrengo wowote..sioni kosa lake mbona CUF ni WALIBERALI wanaunga mkono ushoga?