N ndeambase JF-Expert Member Joined Sep 30, 2016 Posts 626 Reaction score 312 Feb 13, 2018 #1 Kuna hawa watumishi wa umma walioachishwa mishahara yao tangu mwezi July Kwa nini hawalipwi haki zao ? kwani walijiajiri wenyewe? na isitoshe kama kama ni vigezo kwani hawakuviona hivyo vigezo? Lakini OK ikifika uchaguzi watu hawajitambui
Kuna hawa watumishi wa umma walioachishwa mishahara yao tangu mwezi July Kwa nini hawalipwi haki zao ? kwani walijiajiri wenyewe? na isitoshe kama kama ni vigezo kwani hawakuviona hivyo vigezo? Lakini OK ikifika uchaguzi watu hawajitambui
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,203 Reaction score 25,378 Feb 13, 2018 #2 Umeuliza na kijijibu mwenyewe... ...... Anyway tunatengeza uchumi kwanza.