habari

njunju

New Member
Joined
Nov 22, 2009
Posts
2
Reaction score
0
wadau, mimi ni mgeni ni matumaini yangu mko na moyo mkunjufu kunikaribisha.
 
Hizi kweli ni HABARI MCHANGANYIKO...Nimekubali!..Maana zimenikanganya!
 
Mama wa kambo amchoma mtoto wa mumewe kwa kutumia mwiko, na mateso makali kumpa, ikiwa ni pamoja na kumg'ata meno, kumfinya mwili mzima, hatimaye mama huyo atupwa lumande.

Ujumbe wazazi tuwe na huruma hata kama mtoto si wa kumzaa wewe, je angekuwa mwanao anafanyiwa hivyo wewe ungefurahia hayo.
tuache roho mbaya. watoto ni taifa la kesho
 
NI POST YAKO YA PILI!
ina akili kwakweli
ila inaonekana hujajua namna ya kurusha thread!haina mbaya UTAZOEA TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…