Natanguliza pole na maombi kwa Mungu upate kutatua hio changoto.
Ukiona jambo umeshughulika nalo kwa kawaida halitatuliki jaribu kushughulika nalo isivyo kawaida.
Juwa hakuna jambo lolote ambalo halitatuliki ila njia ndio zimefichika, endelea kuwa na nia ile ile ya kudili nalo, kua na Imani litamalizika hivi karibuni,kama una amini katika Mungu weka maombi sala na dua kama kipao mbele njia zitafichuka, tembelea pia wazee, wale wamepitia mengi hawatakosa la kusaidia, na hata ulivyo lileta hapa jukwaani hutakosa la kukusaidia.
Yote ya yote Mungu akujalie upone brother.